The return of champions, kuiokoa Yanga jumapili?

The return of champions, kuiokoa Yanga jumapili?

Skin pigmentation is taking its toll...
No hiding it now...
Manara is loosing it. Hii kauli ya total trophies aliyoisema leo ya yanga na ile aliyoisema akiwa simba ni wazi jamaa ana matatizo ya akili...
Anavyohangaika na vislogan mpaka anatia huruma kwakuwa hata Yanga wenyewe wanashangaa angalia Bumbuli pale
 
Kama mnakumbuka plateau walivyokuja kwa mkapa tulivyowafunga baada ya game walituombea dua na wakapost mpaka kwenye ukurasa wao,, na hawa Rivers ni ndugu kabisa na hawa jamaa,, sasa tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipowasapoti hawa ndugu zetu,, natumai tutawashangalia kama ndugu zao walivyotuombea dua,, Rivers pigaaaa misikule
 
Rivers United ni timu ndogo sana kwa Yanga. Timu haina hata mchezaji mmoja timu ya taifa
Yanga ushindi lazima

Timu ya taifa ya nigeria sio nyepesi kupata namba kwa wachezaji wanaocheza ligi za africa.

Enyimba imewahi kutwaa caf champions league zaidi ya mara 1 bila ya kuwa na mchezaji hata mmoja wa timu ya taifa .
 
Hii lugha ni ngumu sana

Haji anaandika kingereza kibovu ata binti yangu wa kindergarten hawezi kuandika hiyo broken
 
Hii return anayoiongelea Haji ni ile return inayodaiwa na TRA kila mwisho wa mwaka hau ni ipi? Make hii slogan siielewi, utaletaje slogan ya mabingwa wamerudi kwenye michuano ya CAF wakati hawajawahi kuwa mabingwa
 
Back
Top Bottom