G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
TunawakerrrrrHahahaha, mmefurahi Simba kufungwa? Kwani alikuwa anawania nini hadi akafungwa, kulikuwa na Kombe, Hapana! Ahhaaaa! Kumbe alikuwa anatest tu kikosi, Yani kma mwana Simba lia lia Bora tungefungwa hata 5 lkn Yanga MARUFUKU tena kukodi ndege za ATCL kwenda kuiwakilisha nchi.
Halafu ikaja Visit Kilimanjaro and Zanzibar, Nimesahau kuna nyingine tena Jamani ulikuwa inasemaa! " Yanga Mmanipa Raha, Nilikuwa Wapi Mie Jamani!".
Sasa mi nauliza Champion wa nini, wa kukodisha ndege siku moja? Halafu hiyo visit Tanzania kavunjeni mkataba Kwanza, mnajisikiaje na hiyo Raha sasa? Mapovu ruksa!
Tuwaulize Yanga mpaka sasa wamechangia point ngapi kwa ajili ya CAF mwakani ? By Oscar OscarWangeshinda wangesumbua sana hawa Utopolo
We muda umekuja kusoma huu umbea ulikuwa unafanya KAZI gani?Acha umbea fanya kazi
Wazipeleke mbugani tuNa ni nini hatma ya zile jezi za kimataifa?
Sidhani kama wamezitumua kabisa
Tarehe 25/9/2021.Jumapili hiyo Tutajua Nani Ni Nani,Nani Ni wa hovyo hovyo wala Siyo mbali Bado siku 4 tu kwa Mkapa hapoHahahaha, mmefurahi Simba kufungwa? Kwani alikuwa anawania nini hadi akafungwa, kulikuwa na Kombe, Hapana! Ahhaaaa! Kumbe alikuwa anatest tu kikosi, Yani kma mwana Simba lia lia Bora tungefungwa hata 5 lkn Yanga MARUFUKU tena kukodi ndege za ATCL kwenda kuiwakilisha nchi.
Halafu ikaja Visit Kilimanjaro and Zanzibar, Nimesahau kuna nyingine tena Jamani ulikuwa inasemaa! " Yanga Mmanipa Raha, Nilikuwa Wapi Mie Jamani!".
Sasa mi nauliza Champion wa nini, wa kukodisha ndege siku moja? Halafu hiyo visit Tanzania kavunjeni mkataba Kwanza, mnajisikiaje na hiyo Raha sasa? Mapovu ruksa!
Utapata tabu sana,jumapili wanashinda na kuinua kwapa kwa Mara ya kwanza msimu wa 2021/2022.Jiandae kisaikolojia kupokea matokeo,andaa sababu za kujieleza manake utakuwa huna pa kujificha na Cha kujiteteaWangeshinda wangesumbua sana hawa Utopolo