G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Hahahaha, mmefurahi Simba kufungwa? Kwani alikuwa anawania nini hadi akafungwa, kulikuwa na Kombe, Hapana! Ahhaaaa! Kumbe alikuwa anatest tu kikosi, Yani kma mwana Simba lia lia Bora tungefungwa hata 5 lkn Yanga MARUFUKU tena kukodi ndege za ATCL kwenda kuiwakilisha nchi.
Halafu ikaja Visit Kilimanjaro and Zanzibar, Nimesahau kuna nyingine tena Jamani ulikuwa inasemaa! " Yanga Mmanipa Raha, Nilikuwa Wapi Mie Jamani!".
Sasa mi nauliza Champion wa nini, wa kukodisha ndege siku moja? Halafu hiyo visit Tanzania kavunjeni mkataba Kwanza, mnajisikiaje na hiyo Raha sasa? Mapovu ruksa!