The Return Of The Champions! Wamesharudi au Bado?

Utapata tabu sana,jumapili wanashinda na kuinua kwapa kwa Mara ya kwanza msimu wa 2021/2022.Jiandae kisaikolojia kupokea matokeo,andaa sababu za kujieleza manake utakuwa huna pa kujificha na Cha kujitetea
jumapili ya wapi,kanywe chai kwanza ndo urudi hapa.
 
Return of misukule
 
tuwashauri wajiunge na ndondo cup ndio size yao! kama wapo serious kubeba kombe ila haya mengine wasahau kwa muda
 
Tarehe 25/9/2021.Jumapili hiyo Tutajua Nani Ni Nani,Nani Ni wa hovyo hovyo wala Siyo mbali Bado siku 4 tu kwa Mkapa hapo
Pmja na hayo yote MARUFUKU kukodisha ndege na MARUFUKU visit K n Z kuna visi Tz Tu ambayo itakuwa inapepea
 
Hiv manara yupo nchi gani siku hzi smsikii kabsa au ndo naelekea kuzeeka Kwanza ndo 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…