The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets

Plan of PAKA and hiz ego to establish Hima Empire. The problem of establishment in Tanzania

 
Wewe unakataa ulikuwepooooo
 
Ona Dunia inavyowaandika.
Lakin tulionya. Na sasa hakuna justification ya Mauaji badala ya kuwajibika.

View: https://youtu.be/tYMzljeRt3E?si=VjskSPPw0dCgo-0W
Uchunguzi unaendelea, vipo vyombo vya kitaifa na kimataifa vinaendelea na uchunguzi. Baada ya uchunguzi ripoti itatolewa kueleza ni nani aliyeua ndugu zetu.

Maana hata risasi zilizokuwa zinatumika ni za kuulia tembo. Watu Intelligent hufanya utafiti kuliko kujibu jambo kwa kutumia mihemko.

Tanzania ime sign Agreements za Army rules of engagement (ROE)
 
Here comes another guy trying to twist narrative of what happened

Blaming europens agains for their own wrong doing🤣🤣

Blaming Kenya and Europeans for Tanzania’s October 29 election unrest is nothing but a desperate attempt to deflect responsibility. The violence and deaths were the result of Tanzanian security forces cracking down on local protesters, not some foreign plot. Videos, eyewitnesses, and even Tanzanian civil groups documented that the unrest began inside Tanzania, sparked by citizens demanding fair elections not by Kenyans or “foreign puppets.” When people are killed for asking for transparency, you don’t blame outsiders you face the truth. Kenya had peaceful borders that day; the only bullets fired were in Tanzania.
 
dude army rules of engagement ipo jeshini, is not something special. Matter of facts kila nchi inayo specific rules for their own needs

So signing is nothing special
 
Siongei na mbwa mimi. Wewe uwezo wako ni mdogo mno

Soma maelezo yangu kisha soma beetwen line kwa jambo lifuatalo. Labda wewe uwe mjinga tu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin uliowasilishwa kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.
 
dude army rules of engagement ipo jeshini, is not something special. Matter of facts kila nchi inayo specific rules for their own needs

So signing is nothing special
Soma comment hapo #29 nimekupatia mafunzo mafupi kabla ya kukujibu hapa.
 
...yanaoonesha footage zinazojirudia rudia za matukio wanaodai kutokea wakati wa uchanguzi. Lengo ikiwa ni kuendelea kuchafua taswira ya nchi.
🚮
Kwa awamu hii na matendo yake ni lini taswira ilikuwa safi??

Acheni upotoshaji, uzushi na uongo wa kusingizia watu wasiohusika.

Madai ya umma wa Watanzania yapo wazi:
1. Tume huru ya uchaguzi ili nchi ipate viongozi wanaochaguliwa na wananchi.
2. Katiba Mpya
3. Komesha ufisadi
4. Komesha utekaji, mauaji
 
Ujinga jinga tu na kule kuteka watu waliopanga ni nchi gani?
 
Yaani sijawahi kuona duniani watawala wanapigana na wananchi wao wenyewe na wakashinda sijui kwakweli.
 
Ujinga jinga tu na kule kuteka watu waliopanga ni nchi gani?
Mwenye simple head kama wewe huwezi elewa. Yaani kijana unatumia kichwa kama kifuniko cha shingo utaelewa mambo magumu kama haya?
 
What a pile of garbage, writing in English doesn't change bullshit into something meaningful.

Which perpetrators have been exposed from Lissu's trial?

The only thing that has been exposed is the stupidity of the people running this country.
 
dude army rules of engagement ipo jeshini, is not something special. Matter of facts kila nchi inayo specific rules for their own needs

So signing is nothing special
ROE (Rules of Engagement) haipungui matumizi yake kwa jeshi tu, ingawa mara nyingi watu wanaifikiria katika muktadha wa kijeshi. ROE ni seti ya miongozo au sheria zinazowekwa ili kuongoza wakati na namna ya kutumia nguvu, na inaweza kutumika kwa vikosi vyovyote vya usalama, ikiwemo:


  1. Jeshi (Military) – Hapa ROE inawaelekeza wanajeshi lini na vipi wanaweza kushiriki katika vita, mashambulizi, au operesheni za kijeshi, huku wakiangalia sheria za kimataifa za vita (International Humanitarian Law).
  2. Polisi / Vikosi vya Usalama wa Ndani – ROE pia inaweza kutumika kwa polisi, hasa katika hali za counter-terrorism, mapambano na uhalifu wenye silaha, au operesheni za kuimarisha amani ambapo nguvu inaweza kutumika. Hapa, ROE mara nyingi inazingatia uhalali, uwiano, na kupunguza madhara kwa raia.

Kwa maneno mengine, ROE ni kizuizi cha kiusalama kinacholenga kuhakikisha matumizi ya nguvu yanafanywa kwa uwajibikaji, bila kujali kama ni jeshi au polisi.
 
Mwenye simple head kama wewe huwezi elewa. Yaani kijana unatumia kichwa kama kifuniko cha shingo utaelewa mambo magumu kama haya?
Nyie ndio mnafanya nchi hii iwe ngumu kutawalika badala ya kusolve tatizo mnatafuta wa kumpa mzigo ili muendelee kujikomba kwa rais na matumbo yenu..
Ovyo kabisa..
 
Nadhani umepanick, umeshinda kuelewa contest mpaka unatukana

umejaa lugha chafu, ya dharau, na matusi ("Siongei na mbwa mimi," "uwezo wako ni mdogo mno," "uwe mjinga tu") , kwanza kabisa umekosa hekima , unatumia nguvu sana for simple reply hahaha

Anyway kuwa kwenye picha na huyo kiongoz, haimaanish ndio yupo imune.

Thr gov screw up big time, and they know how to clean it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…