Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,368
- 12,964
Me sio genZ lakini kwa akili za huyu maza, sio za kuwekea dhamana kitu chochoteGen z tu ndiyo wataamini rais anaweza tishia ingiza jeshi nchi jirani kisa comments za mtandaoni
Me sio genZ lakini kwa akili za huyu maza, sio za kuwekea dhamana kitu chochoteGen z tu ndiyo wataamini rais anaweza tishia ingiza jeshi nchi jirani kisa comments za mtandaoni
Wewe ndiye uliyeanza kuleta maneno makali. But sorry kwa maneno hayo. Sasa back to the topic.Nadhani umepanick, umeshinda kuelewa contest mpaka unatukana
umejaa lugha chafu, ya dharau, na matusi ("Siongei na mbwa mimi," "uwezo wako ni mdogo mno," "uwe mjinga tu") , kwanza kabisa umekosa hekima , unatumia nguvu sana for simple reply hahaha
Anyway kuwa kwenye picha na huyo kiongoz, haimaanish ndio yupo imune.
Thr gov screw up big time, and they know how to clean it
Sasa kaka tatizo langu ni nini? thread yangu nimeweka kuhusu Russia kusaidia Intelligence kuhusu yale yaliyopangwa na PAKA na nchi nne zilizopanga machafuko wa kati wa uchaguzi. Na nimekuonesha evidence kuwa Putin ametuma ujumbe leo leo Tanzania.Oh man, ww of all people, hahaha🤣🤣🤣
Eti russia wa watumie inteligence yao kusaidia yalio pangwa na paka? For real are your serious?Sasa kaka tatizo langu ni nini? thread yangu nimeweka kuhusu Russia kusaidia Intelligence kuhusu yale yaliyopangwa na PAKA na nchi nne zilizopanga machafuko wa kati wa uchaguzi. Na nimekuonesha evidence kuwa Putin ametuma ujumbe leo leo Tanzania.
Kosa langu ni nini?
Nope , nimekujibu main post yako ya kwanza but umetukana, while sikuweka tusi by any meansWewe ndiye uliyeanza kuleta maneno makali. But sorry kwa maneno hayo. Sasa back to the topic.
Tuongelee ROE, umejifunza nini?
Tatizo husomi unarukia kwenye ku comment tu. PAKA ni kama pawn on a chessboard. Soma nimekuwekea nchi hapo mdogo wangu. Nyuma yake zipo nchi za ulaya na nimezitaja kwenye thread hii.Eti russia wa watumie inteligence yao kusaidia yalio pangwa na paka? For real are your serious?
Russia size ya kudeal na small individuals , waache mambo yao ya msingi.
I mean yeah nakaribisha uhusiano, but aint know way eti paka kama intelligence ya bongo imeshindwa kumpata , wajitafakari
Nani amesema ni special? Hizo ni rules zinazo fuata kufanya engegment. Siraha za aina zipi zitumike kwenye kupambana na adui. Are the rules not special thing.Nope , nimekujibu main post yako ya kwanza but umetukana, while sikuweka tusi by any means
Eti umejifunza nn, mm si wa kuniuliza regular issues kama hizo. And narudia tena ROE is nothing special bro, labda kwa wageni
You're out of mind.The USA forced them to sign a peace agreement with the DRC after being cornered by Tanzanian forces in Eastern Congo.
Rwanda is a soverign state ipo na rules zake za kuingia mpakani. Hiyo uliyoandika is just a childish comment for a pesron who has low education.You're out of mind.
Who was cornered?
The opposite is true. We have seen plenty pictures of our TPDF service men humiliated in Kigali as POW when they were pardoned by PAKA and offered a free passage to go back home.
Brother i know it, unaiweka as if ni something new , nikikuuliza unajua ROE ya jwtz inasemaje when operating ndani ya mchi na nie ya nchi?Nani amesema ni special? Hizo ni rules zinazo fuata kufanya engegment. Siraha za aina zipi zitumike kwenye kupambana na adui. Are the rules not special thing.
What a joke.Rwanda is a soverign state ipo na rules zake za kuingia mpakani. Hiyo uliyoandika is just a childish comment for a pesron who has low education.
Sorry to say this.
PAKA hana hata uhusika wa asilimia 0.01.Sasa kaka tatizo langu ni nini? thread yangu nimeweka kuhusu Russia kusaidia Intelligence kuhusu yale yaliyopangwa na PAKA na nchi nne zilizopanga machafuko wa kati wa uchaguzi. Na nimekuonesha evidence kuwa Putin ametuma ujumbe leo leo Tanzania.
Kosa langu ni nini?
Nadhani tunaanza kujadili ROE badala ya kujadili kipi kilitoke nikaongea hivyo? Nilikueleza kuwa Vyombo vya ulinzi vya Tanzania vinafuata ROE. Nikakuuliza, ukiangalia picha zilizowekwa kwenye mitandao utaona kabisa risasi zilizotumika ni za kuulia tembo ni nje ya utaratibu wa ROE. Kama Vyombo vya ulinzi vya Tanzania vinafuata kanuni za ROE, Je, ni nani aliyetumia silaha hizo za kuulia tembo?Brother i know it, unaiweka as if ni something new , nikikuuliza unajua ROE ya jwtz inasemaje when operating ndani ya mchi na nie ya nchi?
Unaifahamu ROE ya US defence forces?
ROE doesnt mean anything kwenye lililotokea. Damage already done
Hayo ni maneno ya watoto wa kwenye tiktok, watu wenye akili wanayapuuza.PAKA hana hata uhusika wa asilimia 0.01.
Mnamtafuta PAKA, akiamua kuchukua hatua (ikumbukwe yeye ndiye anaongoza kwa kuwa na vibaraka wengi katika kila idara nyeti hapa Tanzania, na hili hata CDF amewahi lisemea), mtajuta!
Acheni kutafuta "mbuzi wa kafara" kwa ushetani wenu wenyewe mlioufanya, kwa ujuha wenu.
RubbishThe revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed
Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan planned for many years by Mr. PAKA. This guy tried to influence Uhuru and they formed COW with Museven, Tanzanian Intelligence explained the whole plan to Uhuru Kenyatta, COW died. This guy formed the M24 group to extract wealth from the DRC while Belgium and Germany helped him for the benefit of those countries.
Many Kenyans are blind, they are on the internet to create content to defame Tanzania while dancing to a dance they don’t know.
The Russian Intelligence Service told Tanzania (TISS) about the plan that the guy had planned for this year’s elections. Tanzania arrested Tundu Lissu and charged him with treason in order to expose the perpetrators of the plan.
The European Parliament passed a resolution so that Tanzania could release Tundu Lisu. The world saw who initiated the motion. Most of the MPs were from Germany.
Many Kenyans bark like dogs on social media. But Intelligence does not work in that way.
Germany is very hurt by the defeat in the second world war. The UK is on the side of Tanzania and they know all the tricks. The USA will not be able to interfere in anything that happened in Tanzania because they know those Germans and this guy from the landlocked. The USA forced them to sign a peace agreement with the DRC after being cornered by Tanzanian forces in Eastern Congo.
Your choice, Kenyans, is clear: either agree to side with Tanzania or cooperate with those who continue colonialism.
Hizi ni story za kuungaunga ili kuhalalisha upuuzi wenu mnaowafanyia watanganyika akiwemo Lissu.The Russian Intelligence Service told Tanzania (TISS) about the plan that the guy had planned for this year’s elections. Tanzania arrested Tundu Lissu and charged him with treason in order to expose the perpetrators of the plan.
Naona Team PAKA wanakuja kwa nguvu sasa. Kwikwikwikwikwi nimewapiga kwenye mshono. Hamuwezi kujifucha.Hizi ni story za kuungaunga ili kuhalalisha upuuzi wenu mnaowafanyia watanganyika akiwemo Lissu.
Nyie endeleeni kuchochea jazba mioyo ya watanzania waliosifika kwa upole majibu yake mtayaona, wala hayako mbali.