The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets

Wewe ndiye uliyeanza kuleta maneno makali. But sorry kwa maneno hayo. Sasa back to the topic.

Tuongelee ROE, umejifunza nini?
 
Oh man, ww of all people, hahaha🤣🤣🤣
Sasa kaka tatizo langu ni nini? thread yangu nimeweka kuhusu Russia kusaidia Intelligence kuhusu yale yaliyopangwa na PAKA na nchi nne zilizopanga machafuko wa kati wa uchaguzi. Na nimekuonesha evidence kuwa Putin ametuma ujumbe leo leo Tanzania.

Kosa langu ni nini?
 
Eti russia wa watumie inteligence yao kusaidia yalio pangwa na paka? For real are your serious?

Russia size ya kudeal na small individuals , waache mambo yao ya msingi.

I mean yeah nakaribisha uhusiano, but aint know way eti paka kama intelligence ya bongo imeshindwa kumpata , wajitafakari
 
Wewe ndiye uliyeanza kuleta maneno makali. But sorry kwa maneno hayo. Sasa back to the topic.

Tuongelee ROE, umejifunza nini?
Nope , nimekujibu main post yako ya kwanza but umetukana, while sikuweka tusi by any means
Eti umejifunza nn, mm si wa kuniuliza regular issues kama hizo. And narudia tena ROE is nothing special bro, labda kwa wageni
 
Tatizo husomi unarukia kwenye ku comment tu. PAKA ni kama pawn on a chessboard. Soma nimekuwekea nchi hapo mdogo wangu. Nyuma yake zipo nchi za ulaya na nimezitaja kwenye thread hii.
 
Nope , nimekujibu main post yako ya kwanza but umetukana, while sikuweka tusi by any means
Eti umejifunza nn, mm si wa kuniuliza regular issues kama hizo. And narudia tena ROE is nothing special bro, labda kwa wageni
Nani amesema ni special? Hizo ni rules zinazo fuata kufanya engegment. Siraha za aina zipi zitumike kwenye kupambana na adui. Are the rules not special thing.
 
The USA forced them to sign a peace agreement with the DRC after being cornered by Tanzanian forces in Eastern Congo.
You're out of mind.
Who was cornered?
The opposite is true. We have seen plenty pictures of our TPDF service men humiliated in Kigali as POW when they were pardoned by PAKA and offered a free passage to go back home.
 
Rwanda is a soverign state ipo na rules zake za kuingia mpakani. Hiyo uliyoandika is just a childish comment for a pesron who has low education.

Sorry to say this.
 
Nani amesema ni special? Hizo ni rules zinazo fuata kufanya engegment. Siraha za aina zipi zitumike kwenye kupambana na adui. Are the rules not special thing.
Brother i know it, unaiweka as if ni something new , nikikuuliza unajua ROE ya jwtz inasemaje when operating ndani ya mchi na nie ya nchi?

Unaifahamu ROE ya US defence forces?

ROE doesnt mean anything kwenye lililotokea. Damage already done
 
Rwanda is a soverign state ipo na rules zake za kuingia mpakani. Hiyo uliyoandika is just a childish comment for a pesron who has low education.

Sorry to say this.
What a joke.
My low education made you loose composure and resorted in 'Ad hominem'.
You could have challenged me with facts and not attacking me personally.
 
PAKA hana hata uhusika wa asilimia 0.01.
Mnamtafuta PAKA, akiamua kuchukua hatua (ikumbukwe yeye ndiye anaongoza kwa kuwa na vibaraka wengi katika kila idara nyeti hapa Tanzania, na hili hata CDF amewahi lisemea), mtajuta!

Acheni kutafuta "mbuzi wa kafara" kwa ushetani wenu wenyewe mlioufanya, kwa ujuha wenu.
 
Brother i know it, unaiweka as if ni something new , nikikuuliza unajua ROE ya jwtz inasemaje when operating ndani ya mchi na nie ya nchi?

Unaifahamu ROE ya US defence forces?

ROE doesnt mean anything kwenye lililotokea. Damage already done
Nadhani tunaanza kujadili ROE badala ya kujadili kipi kilitoke nikaongea hivyo? Nilikueleza kuwa Vyombo vya ulinzi vya Tanzania vinafuata ROE. Nikakuuliza, ukiangalia picha zilizowekwa kwenye mitandao utaona kabisa risasi zilizotumika ni za kuulia tembo ni nje ya utaratibu wa ROE. Kama Vyombo vya ulinzi vya Tanzania vinafuata kanuni za ROE, Je, ni nani aliyetumia silaha hizo za kuulia tembo?

Ndio hapo sasa linakuja suala la uchunguzi. The point was not about kujadiliana kuhusu ROE. Maelezo yangu yalikuwa clear kabisa na nikakuambia ROE inatumika hata kwenye police.

Sasa sijaelewa tatizo lako mpaka hapa ni lipi.
 
Ndio shida ya usalama wa Taifa, likitokea jambo / makosa ,
Anatafutwa MTU wa kuangushiwa jumba bovu and then case closed.
 
Hayo ni maneno ya watoto wa kwenye tiktok, watu wenye akili wanayapuuza.
1. Unaandika kwa kujichanganya, mara PAKA yupo na vijana wake kwenye vyombo vya usalama. Sasa kama yupo na vijana wake kwenye vyombo vya usalama unakataa vipi kama siyo yeye aliyepanga mpango huu?

Unapoandika uwe unafikiria kuliko kuandika utumbo kwa watu intelligent kama mimi.
 
Haaaaa! PK amka wameanza kukusingizia. Tuma hitmen wako.

Accountability ni bidhaa ghali sana Tanzania.
 
Rubbish
 
The Russian Intelligence Service told Tanzania (TISS) about the plan that the guy had planned for this year’s elections. Tanzania arrested Tundu Lissu and charged him with treason in order to expose the perpetrators of the plan.
Hizi ni story za kuungaunga ili kuhalalisha upuuzi wenu mnaowafanyia watanganyika akiwemo Lissu.

Nyie endeleeni kuchochea jazba mioyo ya watanzania waliosifika kwa upole majibu yake mtayaona, wala hayako mbali.
 
Naona Team PAKA wanakuja kwa nguvu sasa. Kwikwikwikwikwi nimewapiga kwenye mshono. Hamuwezi kujifucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…