Marconho
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 287
- 445
Uliishawahi kuandika makala yoyote humu mkuu au nje ya hapa? km ipo naomba unitag inaelekea hujui ugumu wa kuandaa hizi makala.Umenichosha bure kumbe hakuna kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliishawahi kuandika makala yoyote humu mkuu au nje ya hapa? km ipo naomba unitag inaelekea hujui ugumu wa kuandaa hizi makala.Umenichosha bure kumbe hakuna kitu.
Inabidi kuuvua owga ili tuweke alama kwenye haya maisha. Tuombeane kheri tu kamaradi...Naogopa tu asikutumie walenga shabaha
Nikumbuke
Pamoja chiefThanx mkuu kwakunitag
Sawa chiefNami naomba uwe unaniad .. baracuda..
Nami usinisahau!!Sawa chief
Bila shaka chief...Mkuu kama hautajari naomba pia uwe unanitag kwenye hizi makala zako maana ndo chakula yangu mkuu.
One lovePamoja chief
Done chiefMkuu namimi naomba uni add
Shukrani chiefKwa heshima na taadhima naomba kwa andiko lingine tuitane tafadhari.
All in all nafurahi kuwa miongoni mwa wanao kula chakula kitamu cha ubongo toka kwa gwiji la mapishi. Long live jamaa
We wil get thete chiefPia naomba kujua kama PK ana uhusiano na JIWE... Tafwadhali mkuu... Alafu nilisikia anamiliki vitalu kule mererani.... Naomna maelezo pia kwa hili...
Bila shaka chiefMkuu sana Habibu B. Anga naomba uniweke pia kwenye tg list yako kama hutojali.
Napenda sana kufuatilia simulizi zako.
Done chiefNaomba uni ADD sehemu ya pili mkuu. Very interesting
Bila shaka mkuu kiti chemaNahitaji uni add kwenye mastory yako.
KITI CHEMA my name
Hahahaha... roger thatNilishasema usiwe ukinitag,The bold.Nitakuwa nakutag mie Mkuu.Asante
Roger thatnahisi utanisikia na kunielewa The Bold, usije ukasahau jina hili kulitag.
KaribuUmenichosha bure kumbe hakuna kitu.
Done chiefmkuu naomba na mimi uwe unani-tag, salute kwako the Bold.