The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Mkuu habib b.anga lini tena itaendelea? Unapomalizia kwa kusema itaendelea inabidi uandike kabisa itaendelea lini ili kutuondolea usumbufu wa kufungua uzi kila mara kucheki kama imeendelea!asante mkuu
 
Habibu B. Anga
Point of correction..Rashidi alimsogelea mzee hadi alipokuwa amekaa na kujifanya kama anataka kumnon'goneza kisha ghafla akachomoa bastola na kumshoot mzee ..Risasi ya kwanza ambayo ndo ilimuua kabila aipigwa shingoni..
Chief LIKUD heshima yako...

Kuna version nyingi sana za namna gani Mzee Kabila alipigwa risasi.
Binafsi nazingatia ushahidi ambao umetolewa kwa mdomo wake mwenyewe mtu pekee ambaye alikuwa ofisini na kabila Bw. Emile Mota. Maelezo ya Emile Mota yanarandana pia na kile ambacho Mhe. Mamba aliwahi kukisema mwaka 2003 kabla hajaingia matatizoni.

Naheshimu mawazo yako still.
 
Chiefs,

Nitajitahidi kuwatag kila mmoja ambaye ameomba tag. Lakini pia naomba mnisaidie kwa kunifollow uweze kupata notification kama ikitokea nikisahau kukutag (just in case).

Kwa wale ambao hawafahamu namna ya kufollow mtu JF... fungua JamiiForums kupitia browser kisha search "Habibu B. Anga" na kisha tazama kitufe ha follow.

Shukrani.
 

Nalisubiri Povu la WATZ juu ya Kagame na Rwanda Jiandae mzee baba. Kwenye hii stori namwona kwa mbaali James Kabarebe The mastermind The Man himself Baba mkuu pale Kigali.
 
Nilikuwa najiuliza,Habibu B.Anga ni nani tena! Mbona anaandika km the bold!?? Kumbe ndo yeye! Naona mzee umetag member wote kasoro mm tu...!! Lkn usijali...nasubiri madini mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…