The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Yes,ni bora sana kutii wito wako mkuu ulioitiwa hapa duniani.
 
Safi kabisa na umesomeka vema.

Hamna namna duniani tuko tofauti tofauti, na tofauti zingine ni kubwa kabisa! Lakini lazima wote tuishi katika Dunia hii hii, Hakuna mwenye haki zaidi ya mwenzie eti kwakuwa tu yuko tofauti naye!

Keep it up kamanda, waandishi kama wewe pia wanastahili kuishi hapahapa duniani! Huko mbinguni tunaambiwa itakuwa ni kuimba kusifu tu!
 
 
Mkuu umeshindwaje kutumia ID nyingine badala ya hii verified kama inajua unachoandika kitakuletea matatizo

Mimi binafsi sijakuelewa
 
Hapo sawa, pole kwa yaliyokukuta..
 
Hapo sawa, pole kwa yaliyokukuta..
 
Halafu post imekuwa ngum mnooo kuingia!yaan kila nikitaka kurudi mwanzo Wa page inakataa
 
Mkuu umeshindwaje kutumia ID nyingine badala ya hii verified kama inajua unachoandika kitakuletea matatizo

Mimi binafsi sijakuelewa
Chief unatakiwa uanze kuniuliza kwa nini nilifikia uamuzi wa kuwa verified member badala ya kuendelea kujificha na jina la bandia??

Kalamu ndio maisha ambayo nimeyachagua... na ili kuacha alama kwenye historia si busara sana kujificha nyuma ya keybord.
 
Kichwa shukrani sana fanya moyo utakavyo kitu cha kukiogopa ni woga wenyewe na hakuna namna ya kuanza jambo zaidi ya kuanza
 
Binafsi niliwahi kukushauri hili mkuu. Habibu B. Anga anapaswa kuwa mkubwa kuliko The Bold. Jina lako halisi ndilo linalopaswa kubeba heshima inayotokana na kazi zako,na ndilo linalopaswa kuingia katika vitabu vya historia kwa ajili ya kizazi kijacho. Wewe ni mwandishi wa kiwango cha juu mkuu,natamani sana kalamu yako ikufikishe katika levo za juu kabisa za mafanikio katika ukwasi na utukufu!
 
Mkuu umeshindwaje kutumia ID nyingine badala ya hii verified kama inajua unachoandika kitakuletea matatizo

Mimi binafsi sijakuelewa
aliandika kabla hajabadilisha jina...namaani alikuwa anatumia The Boss kama sikosei
 
Nasubiria mwendelezo sehemu ya tatu kwa hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…