The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Niwie radhi mkuu, ila suala la kunifukuza kwenye uzi sio sawa maana sisi wote wachangiaji hapa
nimependezwa " Sana na majibu yako" ijapokuwa " watu wana kuattact but unawajibu kwa hekima ".. ijapokuwa mwanzo ulikosea na umesahau ", kuomba radhi " but reply zako zimenifanya nikuone kuwa umekomaa kiakili", naninaichukuliA ile statement yako " uliyoitoa", kama sehemu ya udhaifu tu " ambao' kilA mmoja"" wetu huwa"" anao
 
kuna mama mmoja pale kariakoo anaingiza ml.200 ndani ya masaa Ma 3,.., huwa anaagiza contena 20 mpaka 30 za vitenge "" pale k.koo tu ana. miliki maghorofa ma 3 "' kila moja kalinunua kwa sh.billion 6.7
Bet?
 
kuna mama mmoja pale kariakoo anaingiza ml.200 ndani ya masaa Ma 3,.., huwa anaagiza contena 20 mpaka 30 za vitenge "" pale k.koo tu ana. miliki maghorofa ma 3 "' kila moja kalinunua kwa sh.billion 6.7
Hii chai maharage au chai mihogo mkuu?
 
Naunga mkono wengi hapa tumeaminishwa na tunakaririshwa kuwa matajiri ni wale tu ambao wanatajwa na jarida la forbes, nje ya hapo wengine wote ni waokota makopo na wababaishaji tu, Kwa mfano leo hii Mohamed Dewji ndio anasifika hapa Tanzania. Lakini ukiangalia trend hata kwa macho utaona Bakhresa yupo far kwenye uwekezaji kuliko Mo lakini hatajwi kabisa kwenye list za matajiri. Africa baadhi ya maraisi wake ni matajiri wakubwa sana na wamekeza katika nchi nyingi duniani. Former president wetu mmoja ako na 5 star hotels South Africa zipo mbili na miradi mingine kibao. Tiririka baba the Bold tunakufatilia kwa umakini hapa
 
Xcuz me!!! etii?!!? Putin tajiri zaidi duniani!!? Aaahh umebugg mjomba

Sikia mjomba maisha yako yote mwanasiasa tajiri hawezi mzidi mfanyabiashara tajiri hata aibe vipi, achana na kitu inaitwa biashara, acha mchezo kabisa na iyo kitu, tena usilete utani ata kidogo

Cheki apa Bill gates anaingiza dolla za kimarekani 23,148 kwa dakika1 sawa na Tzsh Milioni 53, 240,400 hiyo ni kwa dakika mjomba lakini kwa siku anaingiza dolla za kimarekani Millioni 1,380,000 sawa na Tzshs Tillion 3,174,000,000 bajeti ya wizara hiyo mjomba

Dangote anaingiza Tzsh Million 11,600,000 kwa siku sawa na Million 350,000,000 kwa mwezi sasa unapokuja kutuletea porojo za watu kama akina kagame eti ni matajiri hahahahaa umekula maharage ya wapi mjomba

Achana na iyo mambo, kama unawaingiza chaka watu, waingize lakini kaa ukijua hapa Jf ni jukwaa la watu smart sana, usije ukaleta porojo zako ukadhani umewalisha matango yako, no way

Eti kagame tajiri africa,
Umebugg meeeen


Mkuu umekurupuka kiwango cha jiwe...naomba urudie Tena kusom thread labda utaelewa...usipoelewa njoo nikueleweshe
 
Apart from utamu wa awali Kabisa wa thread...nisiwe mnafiki Na nisiweke kitu rohoni...kwa kweli huyu binti wa Kagame huwa ananikosha roho sana yaani nikiona tu Picha yake moyo wangu huwa unongeza mapigo Sijui siku nikimuona live itakuweje...Mwenyenzi Mungu nipe hela mingi kama Putin maana nikiwa nazo kama Putin kumpata haitakuwa tabu Kabisa.
 
Back
Top Bottom