The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Shukrani sana mkuu Habibu B. Anga kwa kunitag. Naomba tu huu uzi uendelee kuwepo wasiche Moderator kuufuta kwa maagizo kutoka juu manake umemgusa rafiki mkubwa wa Baba.
Btw Mr Slim man ameikamata hasa EA manake influence yake ni kubwa ndio maana tunaendelea kufanya anayo tushauri;refer Ndege zetu za dream liners a.k.a mapanga shaa
Naomba unitag next episode ikianza
 
Back
Top Bottom