The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Duh hii hizi story tulikuwa tunazisikia juu juu enzi hizo Kumbe zilikiwa zinatisha hivi
 
Nadhani ndugu mwandishi katika stori hii emmeson Mnangagwa rais wa zimbabwe hata kosa kwa uhusika wao kuwaondoa wakina james kabarebe kule Kongo.

mkuu tafadhali usituwahishe tukakosa hamu ya stori tafadhali
 
Baada ya kum gun down Kapend alimkuta Rashid ana business card ya attache wa America defence..
 
Nadhani ndugu mwandishi katika stori hii emmeson Mnangagwa rais wa zimbabwe hata kosa kwa uhusika wao kuwaondoa wakina james kabarebe kule Kongo.
Braza!brazaaaa....Mbona unataka kukata kabla ya kona mzeee..... Utatuangusha abiria
 
Back
Top Bottom