The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

habib B. Anga

Japokuwa mzazi wangu mmoja ni mzaliwa wa rwanda, mwaka jana alinipeleka sehemu akaueleze ukweli wa mambo. Japo alisema mambo mengi ambayo sikuwa interested nayo ila hawa jamii ya hamites ni shida kwa kweli. Hawa watutsi ni wana roho za visasi kma ndugu zao waarabu.

Nahisi siku moja yatatokea mauaji wa kimbari tena na haya yatakayotokea tena nadhani yataishinda hata yale ya Rohingya.

Watutsi jamani embu badilikeni acheni roho za visasi kama waa-Afganstan itawasaidia
 
Hii ni habari muhimu sana,pia inatoa fundisho kwa viongozi na wanaotarajia kuwa viongozi.Hasa kwa Afrika
 
habib B. Anga

Japokuwa mzazi wangu mmoja ni mzaliwa wa rwanda, mwaka jana alinipeleka sehemu akaueleze ukweli wa mambo. Japo alisema mambo mengi ambayo sikuwa interested nayo ila hawa jamii ya hamites ni shida kwa kweli. Hawa watutsi ni wana roho za visasi kma ndugu zao waarabu.

Nahisi siku moja yatatokea mauaji wa kimbari tena na haya yatakayotokea tena nadhani yataishinda hata yale ya Rohingya.

Watutsi jamani embu badilikeni acheni roho za visasi kama waa-Afganstan itawasaidia

Ina uhusiano vipi na hii stori mkiitwa wapumbavu mnapaniki ebu hiyo kichwa yako naona kazi ake kubebea meno na Ulimi.
 
Duhh ila wewe ni kama dada yangu maana ata sasa mzee wangu ni mbaguzi sana. Embu acheni siasa kali nyinyi extremist maana ndo mnaosumbua next time itakuwa ethnic cleansing kama ya Royinga minority. Acheni roho hizo japokuwa n mimi nina ubaguzi wa kitutsi ila naikemea iishe. Nawe ikemee hiyo roho
 
Hicho kichwa usifanye kiwe stoo ya mate,ubaguzi unao wewe na fmailia yako pole sana kuiombea Rwanda mabaya kamwe haiji tokea Rwanda inasonga mbele kwa kasi ya LTE [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Proudly Rwandese.eti dada yako huna hadhi ya hata kuniita dada pambana na hali yako punguza shobo
 
Duhh niliendaga mwaka 2014 nilichokikuta nilishangaa ubaguzi wa ajabu ukiwa na pua pana na sura pana basi tena ata shule huwezi kwenda wanakunyima kwa sababu walimu wakuu wengi ni watutsi. Ila pona yako uende shule za mision huko utapata kusoma kinyume na hapo basi sahau elimu.

Subirini lakini maana yajayo yatahuzunisha
 
we jamaa unaandika stori tamu kama vile naangalia muvi kwa huo ureality
 
Hicho kichwa usifanye kiwe stoo ya mate,ubaguzi unao wewe na fmailia yako pole sana kuiombea Rwanda mabaya kamwe haiji tokea Rwanda inasonga mbele kwa kasi ya LTE [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Proudly Rwandese.eti dada yako huna hadhi ya hata kuniita dada pambana na hali yako punguza shobo
Mbona sentences zako 3 za mwisho zinatofautiana na hiyo sentensi yako 2 juu baada ya comma? Kwa hiyo nyie watutsi ni wabaguzi kweli au?
 
Hicho kichwa usifanye kiwe stoo ya mate,ubaguzi unao wewe na fmailia yako pole sana kuiombea Rwanda mabaya kamwe haiji tokea Rwanda inasonga mbele kwa kasi ya LTE [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Proudly Rwandese.eti dada yako huna hadhi ya hata kuniita dada pambana na hali yako punguza shobo
Mmh!
 
habib B. Anga

Japokuwa mzazi wangu mmoja ni mzaliwa wa rwanda, mwaka jana alinipeleka sehemu akaueleze ukweli wa mambo. Japo alisema mambo mengi ambayo sikuwa interested nayo ila hawa jamii ya hamites ni shida kwa kweli. Hawa watutsi ni wana roho za visasi kma ndugu zao waarabu.

Nahisi siku moja yatatokea mauaji wa kimbari tena na haya yatakayotokea tena nadhani yataishinda hata yale ya Rohingya.

Watutsi jamani embu badilikeni acheni roho za visasi kama waa-Afganstan itawasaidia
ukweli mchungu na wa kuhuzunisha sana ni kuwa wale watu bado wana machungu kwenye nyoyo zao na wanarithishana sumu zao zilizoko mioyoni mwao kwenda kwa vizazi vyao.
 
Back
Top Bottom