The Richest Polishman found Gas in Tanzania.

The Richest Polishman found Gas in Tanzania.

Steven Sambali

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2008
Posts
364
Reaction score
182
Huyu jamaa alitimuliwa/aligombana na serikali nchini kwake kwa ufisadi na miradi yake mingi kakimbiza nje ya nchi ya Poland huku akiachia miradi kadhaa na mmoja wapo ukiwa ni kuuza magari ya bei mbaya kutoka German.

Sasa naona kashaingia hadi Tanzania. Tusubiri kula kidogo ila nina wasiwasi tutaliwa na sisi sana tu.

Jan Kulczyk, mzee mwenye HIGHWAY yake ya kulipia kutokea mjini kwake Poznan kuelekea Warsaw.

Nategemea hatatula sana na siye tutafaidika.


Our strategic investor, Poland's richest man Jan Kulczyk, just achieved a massive gas find in Tanzania. (i) Kulczyk now has masses of fresh liquidity, which has obvious advantage for AUL. (ii) It also proves that he is entirely serious about finding gas, there was idle and prejudiced speculation that his AUL play might have been emotional patriotism to Poland or even something worse. (iii) His technical team, namely Mr Pączek, have scored a brilliant success, and they are in a perfect position to apply themselves to AUL.

To my mind an investor can't get much more credible than this. Personally, I'm delighted to be piggy-backing Kulczyk's success by way of AUL.

Discussion | Interactive Investor


Kama Kipolish kinapanda basi karibu hapa chini:


Kulczyk znalaz
 
Habari hizi za kupatikana kwa gas hapa nchini sasa zinatia fora, kitu ambacho ni chema, lakini ukiangalia price tag za gas kwa matumizi ya nyumbani unaweza ukadhani haupo Tanzania, nchi ambayo inazalisha gas.
Yaan mtungi wa kg15 kwa sasa ni elfu 65000/= (Tsh)> Halafu wanapiga marufuku ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa, huku umeme wamepandisha bei na mafuta ya taa ndio usiseme!
Ni mpaka lini huu ugunduzi utawanufaisha watanzania? Ifike mahali tuseme SASA BASI, nasi tunataka UMILIKI kwenye hayo makampuni
 
Tanzania kila kitu ni ghali unnecessarily!
Gas tuko nayo ila bei tunapigwa!
Dhahabu ounces inafika mpaka 1600usd sisi twaambulia mashimo.
Mitandao ya simu ndo usiseme tunapigwa kinyama.
Nadhani wanatuona sisi MISUKULE
 
Tanzania kila kitu ni ghali unnecessarily!
Gas tuko nayo ila bei tunapigwa!
Dhahabu ounces inafika mpaka 1600usd sisi twaambulia mashimo.
Mitandao ya simu ndo usiseme tunapigwa kinyama.
Nadhani wanatuona sisi MISUKULE
Haya yote unayosema ni sahihi kabisa, sasa tufanyaje Kamanda? hebu toa pendekezo basi, mimi hata sitaki tena kusikiliza habari zao (serikali) kwenye vyombo vya habari kwani wananipa headache tu, (mechanism zote walizoweka ni kama zimeshindwa. Hakuna kipya zaidi ya kutumia kodi zetu bure) lakini cha kushangaza bado wao wanazidi kunawiri
 
Back
Top Bottom