Mkubwa nimekukubali .Asante sana kwa kutimiza ahadi yako.Nimepata kitabu na nimeshaanza kukisoma ktk pc. UbarikiweSalanga, nimekupata ndugu yangu, pole sana na maumivu ya mguu, nitakutumia nakala iko ktk pdf, bila shaka utaweza kuprint au kusoma kwa pc au ipad, All the best.
Mkubwa nimekukubali .Asante sana kwa kutimiza ahadi yako.Nimepata kitabu na nimeshaanza kukisoma ktk pc. Ubarikiwe
sir I need this book can you send to my mail mgata.menley@huawei.com
habari wana jf .
Nahitaji msaada kujua gharama ( roughly ) za kuchapa kitabu . au sehemu gani mtu anaweza kwenda na kupata details zote kuhusu kuandaa kitabu na gharama zake.
asanteni sana
sir I need this book can you send to my mail mgata.menley@huawei.com
tumia zaidi lugha ya kiswahli uwafikie wengi hapa