The right to be rich

The right to be rich

Salanga, nimekupata ndugu yangu, pole sana na maumivu ya mguu, nitakutumia nakala iko ktk pdf, bila shaka utaweza kuprint au kusoma kwa pc au ipad, All the best.
Mkubwa nimekukubali .Asante sana kwa kutimiza ahadi yako.Nimepata kitabu na nimeshaanza kukisoma ktk pc. Ubarikiwe
 
habari wana jf .
Nahitaji msaada kujua gharama ( roughly ) za kuchapa kitabu . au sehemu gani mtu anaweza kwenda na kupata details zote kuhusu kuandaa kitabu na gharama zake.
asanteni sana
 
habari wana jf .
Nahitaji msaada kujua gharama ( roughly ) za kuchapa kitabu . au sehemu gani mtu anaweza kwenda na kupata details zote kuhusu kuandaa kitabu na gharama zake.
asanteni sana

Cheki on line publishers, kuna jamaa wanaitwa Blurb.com
 
tumia zaidi lugha ya kiswahli uwafikie wengi hapa

Nimekupata mkuu, nashukuru kwa ushauri wako, kitabu kiko kidhungu ila katika blog najaribu kutoa tafsiri isiyo rasmi ili kufafanua topic ambayo inazungumzwa.

Barikiwa.
 
Back
Top Bottom