Elections 2010 The Rise and Fall of CHADEMA

Sokomoko angalia wabunge wote wa NCCR wanatoka mkoa mmoja(simaanishi ukabila) kwahiyo kurudi tena hapo nyuma itachukua kama miaka 15 ijayo
 
sijaipenda hii, tafuta mfano hai sababu mfanano wa chadema na tlp haupo, chadema ni chama cha wasomi na kinaendeshwa kisomisasa ukitumia umaarufu pekee kulinganisha sikuelewi labda ujipange tena. But presentation bila mfano hai ni nonsense.
 
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

haka kajamaa ni kasengeeeeeeeeeeeeeerema au mzaaharamu???
tumesimama wima wewe cc sio waigizaji..
na kwenye jf umeingiaje na maneno yako ya shombo????
 
Hakuna mtu mwenye tabia kama ya mrema CHADEMA,kwani mrema ndiye aliua chama,(MBATIA+LIPUMBA+MREMA+CHEYO) eti wameungana kama sio vituko ni nini?
 
Uliyepost thread hii umetumwa hauna tofauti na Sheikh Yahya. Defections katika vyama ni kitu cha kawaida. Chadema wanayo sapoti yetu hakitakufa ng'o ila vingine ndiyo vitakufa. Komaa CHADEMAA
 
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

kwanini?
Be a great thinker sio kutoa utabiri usio na reasoning kama ni hivo umepotea njia
 
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

Nisije kukutukana hapa nikapigwa BAN tena..nyie nichokozeni tu
 
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

Kwani wewe ujuwi kuwa Chadema ni waroho wa madaraka na udini, ukanda na ukabila umewatawala.
 
Kwani wewe ujuwi kuwa Chadema ni waroho wa madaraka na udini, ukanda na ukabila umewatawala.

KWAHIYO UNATAKAJE???
KAA MBALI NA SISI USITUAMBUKIZE UJINGA

:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
Kwani wewe ujuwi kuwa Chadema ni waroho wa madaraka na udini, ukanda na ukabila umewatawala.

Heshima kwako mkuu,

Mamwinyi mnaihitaji sana elimu-dunia. Kila linapozungumzwa suala la CHADEMA au la kitaifa mnakuwa na macho ya dini dini dini. Ubongo wa binadamu hauwezi kuendelea kifikra ikiwa unalishwa ujinga tu. Msikimbie shule.
 
kuna watu wanadhani ccm inamaisha marefu sana,
kuna watu wanatamani kuona CHADEMA inakufa, kabla wao hawajakufa .
sihitaji utabiri a shehe Yahya Hussein wala Maji marefu kuuona mwisho wa ccm nikingali hai , if other things remain constant.
 
kafulila ana umakini gani kaa chini uwaze uwazue unapukuwa mnafiki na ndumila kuwili ndio umakini huo tamaa zake za madaraka ndio umakini chadema wakati kafulila akiwa afisa uhusiano chadema ililega kaondoka chama kikaimarika bila yeye acheni kukurupuka fanyeni tathmini za kina ndo uchangie mada.
 
nakuunga Mkono, KUWA KWANZA CHADEMA si taasisi yakumbembeleza sisimizi mmoja, unapogusa maslahi na ustawi wa chama , hatukuachi, tunakuondoa ili kujenga nidhamu na uadilifu.
sio yeye wakwanza Kafulila, wapo wanachama wengine kadhaa wa kadha tumewatimia kwa kujua kua hawana lengo moja, hawana msimamo thabiti.
msimamo wetu kama chama, Ni mwiko na marufuku kwa mwanachama mwenye msimamo wa vuguvugu, it either uwe pamoja nasi , ama uwe nao .
 
haka kajamaa ni kasengeeeeeeeeeeeeeerema au mzaaharamu???
tumesimama wima wewe cc sio waigizaji..
na kwenye jf umeingiaje na maneno yako ya shombo????

Inamanaanisha wazaramu ni was***** huo mtazamo wako binafsi au wa chama chako ukipendacho?
 
I don't think so! ingawa naweza kukubali kwamba ubinafsi sio ishu lakini nawaamini sana washika usukani wa CHADEMA kwani hawafanyi mambo kwa kukurupuka
 
Hivi ninyi bila kunyosha kidole kibaya kwa NCCR huwa hampati usingizi? Leo hii Zitto kakiri mwenyewe kwamba NCCR wamemuunga mkono Marando katika kuwania kiti cha Uspika wa Bunge (hawakujali kwamba huyu alikuwa kiongozi wao akawakimbia). Na mkumbuke Zitto mwenyewe aliutangazia umma wa watanzania kwamba NCCR imekufa,sasa iweje mnadai kwamba ndiye kaipa nguvu kule Kigoma? Sana sana NCCR ndio ilimheshimu, ilimzuia mwanachama wake kugombea ubunge katika jimbo la Zitto.
Wakati umefika mziache chuki zenu kwa NCCR. Wapeni fursa nao wajijenge upya. Au hamjui ya kuwa uwepo wa vyama kadhaa vyenye uhai ndio demokrasia yenyewe ya vyama vingi na ni kwa faida ya taifa kwa ujumla?
 
Bado unaota ukiamka utuambie.
 
Hayo uliyoongea ni ramli. Wasomi huwa tunaongea with reasons zinazokuwa backed-up na empirical evidence.

Hii si karne ya utabiri usiokuwa na muelekeo. We simply are not going to buy this because it doesnt carry water.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…