The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Ganja, weed, widi, bangi, marijuana, boom, mjani, kitu, makshada, grass, tumbaku...

Ushaujuwa msuba au tuendelee?

io theory mmempa sasa kampen practical...mpen kamoja akanyonye.....ndo kuelekezana kwenyewe uko...
 
Janja ya wamarekani imewaona na kutambua uzito wa nguvu ya kimataifa ...waliongoza mataifa kuishambulia Libya sasa wanajitoa vitani kuwaachia wale waliojitosa pamoja nao kiujingajinga. Hebu fikiria endapo Tanzania tungeungana nao katika vita hiyo?
 
Hiyo ndio adabu ya wamarekani ngoja ale msuba aweze kujilinda sawasawa

Haijamsaidia kupambana bali kuua raia wake kwa madege. Imemsaidia kuwa Teja zaidi kama wale wanaopiga debe huku wamesinzia, mf. akiita 'Kimara mia, kimara mia....' anapokuja kuzinduka usingizini anakuta taxi na kudhani katokewa na miujiza baada ya Costa kupungua ghafla
 
Hii kitu kule unyamwezini (Mboka) ukiwa bado mdogo (foolish age)llazima uionje,ukikua ni hiari yako kuacha.INATULIZA UBONGO.
 
Ukasuku ndio tatizo letu waafrika.Hatuwezi kujiundia jambo letu lolote,ni mpaka tuangalie waiengereza na wamarekani wammefanya nini.Kumponda Ghadhafi kwa hoja ya kukaa madarakani miaka mingi ni ukasuku safi.Halafu mtu huyo huyo anatetea ufalme na umalkia wa Uiengereza kwa hoja dhaifu.
 
Hiyo ni sigara ya kawaida bwana, hata sadam alikuwa anavuta sigara.
 

Tuchekeche tuone nani kasuku.......kati ya malkia Elizabeth na Gadafi, nani yupo madarakani kidemokrasia?
 
BREGA, Libya – Rebels retreated Wednesday from the key Libyan oil port of Ras Lanouf along the coastal road leading to the capital Tripoli after they came under heavy shelling from ground forces loyal to leader Moammar Gadhafi.
NATO planes flew over the zone where the heaviest fighting was under way and an Associated Press reporter at the scene heard explosions, indicating a new wave of airstrikes against Gadhafi's forces.
NATO has intervened in the Libyan conflict with near daily airstrikes to weaken the regime's superior military power vis-a-vis the poorly trained and badly equipped ragtag rebel army.
A rebel near the front lines told the AP that the opposition fighters withdrew from Ras Lanouf rather than fighting the regime forces who were closing in on them.
U.S. Marine Corps Capt. Clint Gebke, a spokesman for the NATO operation aboard the USS Mount Whitney, said he could not confirm any specific strikes but said that western aircraft were engaging pro-Gadhafi forces.
"The joint task force is still supporting the civilians on the ground via sorties," he said in a telephone interview.
With the help of NATO airstrikes earlier in the week, rebel who control the eastern half of Libya rapidly advanced westward on the main coastal highway that leads to Gadhafi's stronghold in the capital. The got within 60 miles of the city of Sirte, Gadhafi's hometown and a bastion of support for the longtime leader with a major military base.
At that point, they came under heavy bombardments by Gadhafi's ground forces, who outgun the rebels in every way — in numbers, equipment and training.
Over the past two days, the poorly organized rebel forces have been in full retreat back eastward on the coastal highway, with no help from NATO airstrikes that they had pleaded for until around midday Wednesday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…