The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

No-fly zone: Clouding words of war The West has used euphemism to deny a state of war against Gaddafi under the guise of a humanitarian mission.

In the legal codes through which the international community acknowledges so untoward a happening as war, the UN resolved to protect civilians and create a cordon sanitaire around the blighted country.

More recently, Gaddafi's border police and coast guard, trained and assisted by the EU, have been greatly valued by the 'good Europeans' for helping keep out the Africans.

Liberal war's last service is to locate the source of violence in the natives, on the backward peoples of the non-European world, not on the Westerners who exploit, invade, occupy and bomb.

If we go by official rhetoric, the problem in Iraq and Afghanistan apparently has to do with religious and ethnic prejudice among the peoples there, who irrationally keep killing one another as well as Western soldiers kindly sent to modernise them.

No-fly zone: Clouding words of war - Opinion - Al Jazeera English
 
21:49 Almanara Media A force composed of 20 trucks and Grad missile launchers are stationed under trees and date palms in the Teejee area at the western entrance of Nalut

21:20 Almanara Media sources have reported to Almanara Media that 10 tanks are stationed near the gas factory which is 10km east of Zwarah

20:30 DIRECT from Misratah Coalition fighter jets are air striking Gaddafi's tanks stationed in Misratah right now

17:27 AFP A fishing trawler packed with food and medical equipment has docked in rebel-held Misrata, bringing one of the first aid shipments to the besieged Libyan city since it came under attack by Col Gaddafi's forces 10 days ago.

16:18 Sky News Scottish prosecutors say they want to interview defected Libyan foreign minister Moussa Koussa in connection with the Lockerbie bombing.

16:14 Al Arabiya reports that chief of Libyan intelligence Abu-Zayd Durda has fled to Tunisia. Al Manara Media reported that he and several other diplomats were making plans to defect.
 
Huyu waziri ni miongoni mwa wanafiki kwani muda wote huo alikuwa wapi hadi sasa ndio akimbilie huko kwa Mabeberu? Unafiki mtupu!
 

Hibi unadhani hao Arab League wana akili kweli? Mbona hawazungumzii Yemen wala Syria ambako watu wanauawa na Majeshi ya madkteta wa huko? Hao UAE na wenzao wanajipendekeza kwa Mabeberu na wao mwisho wao hauko mbali. Mabeberu huenda wamewahonga akina Amry Moussa na baada ya kuona madhara huko Libya akina Moussa wa AL wanaanza kuweweseka na wanakaribia kutapika milungula waliyopewa na Mababeru ili kuisaliti Libya.
 
23:09 DIRECT from Misratah Wefaq Libya confirm that 9 Gaddafi snipers were killed today by revolutionary snipers. The same source also confirms that battles today claimed the lives of 7 martyrs in Misratah.

22:12 Al Jazeera Arabic Mustafa Abdul Jalil, head of Interim National Council has said that revolutionaries lack organisation and he doesn't exclude the possibility of a change in military leadership very soon.

22:12 Al Jazeera Arabic correspondent reported that he saw a convoy of Grad missile launchers leaving Benghazi and headed towards Ajdabiya
 
Libya: Politics of humanitarian intervention
The process of implementing the UN resolution on Libya was a poorly executed farce with no long-term foresight.

Mahmood Mamdani

Libyan assets are mainly in the US and Europe, and they amount to hundreds of billions of dollars: the US Treasury froze $30bn of liquid assets, and US banks $18bn. What is to happen to interest on these assets?

The absence of any specific arrangement assets are turned into a booty, an interest-free loan, in this instance, to US Treasury and US banks.
Like the military intervention, there is nothing international about the implementing sanctions regime. From its point of view, the international process is no more than a legitimating exercise.

If the legitimation is international, implementation is privatised, passing the initiative to the strongest of member states. The end result is a self-constituted coalition of the willing.

War furthers many interests. Each war is a laboratory for testing the next generation of weapons. It is well known that the Iraq war led to more civilian than military victims.

The debate then was over whether or not these casualties were intended. In Libya, the debate is over facts. It point to the fact that the US and NATO are perfecting a new generation of weapons, weapons meant for urban warfare, weapons designed to minimise collateral damage.

The objective is to destroy physical assets with minimum cost in human lives. The cost to the people of Libya will be of another type. The more physical assets are destroyed, the less sovereign will be the next government in Libya.

Libya: Politics of humanitarian intervention - Opinion - Al Jazeera English#
 
Vipi kuhusu malkia wa Uingereza, ye huchaguliwa na nani, na yuko madarakani toka lini?

Duh! watu wengine vichwa kama cha Gddafi kwenye analysis. Nenda kasome UK inaongozwa kivipi. Kwa hints anza kubukua tofatu kati ya parliamentary and presidential system, but you need to learn a lot kama maswali yako ndio haya.
 

Post zako nilisoma. ulisema tuangalie tv sa russia na china; tuachane na bbc, etc. Ndio maana nikakuuliza kwana russia, china na libya kuna tofauti gani. Yaani kutushausri kuangalia TV za china na Russia ili tupate ukweli, ni sawa na kutuambia tuangalie Libya TV. Ndio maanaa madau mmoja akakuuliza na Aljazeera vipi.
 

Na wewe inabidi at least ukasome.
 

kwa hiyo gaddafi abake? thats is what you want to justify? Nchi zipi Africa zina demokrasia? Au wewe unafikiri demokrasia simply means periodic elections? Kuna tofauti gani kati ya demokrasia ya Russia, na zile za Uganda, Rwanda, Zimbabwe, Chad, Mauritania, etc? What does democracy mean to you?
 

Kwa ni hao AU member ambao wanasema watatatua tatizo la Ivory Coast na pia Libya wana democracy?
 

Baada ya kulalama. What is the solution then? Kipi tukiamini? Libya TV, Aljazeera, CNN or you?
 
Duh! watu wengine vichwa kama cha Gddafi kwenye analysis. Nenda kasome UK inaongozwa kivipi. Kwa hints anza kubukua tofatu kati ya parliamentary and presidential system, but you need to learn a lot kama maswali yako ndio haya.
Hawa jamaa wanashindwa kuelewa kuwa United Kingdom kama ilivyo Saudi Arabia na nchi nyingine zote zenye watawala wa kifalme ni constitutional Monarchy.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Libya Mousaa Koussa amekuwa akihojiwa na maafisa baada ya kuwasili Uingereza bila kutarajiwa siku ya Jumatano.

Alitokea Tunisia. Ofisi ya Uingereza ya mambo ya nje ilisema "hakuwa na nia tena" ya kufanya kazi na Kanali Gaddafi.

Hata hivyo msemaji wa Libya alikana kwamba Bw Koussa ameasi na kwamba alikuwa katika safari ya kidiplomasia.

Kuwasili kwake Uingereza kumefanyika huku waasi wa Libya wakiwa wamerudi nyuma kwenye miji iliyotekwa hivi karibuni katika pwani ya mashariki.

Kurudi nyuma kwa waasi kulitokana na mapigano makali baina ya Brega na Ajdabiya siku ya Alhamis.

Awali waasi hao walishapoteza bandari muhimu ya mafuta ya Ras Lanuf na mji mwengine ulio karibu wa Bin Jawad.

Upande wa magharibi, mji ulioshikiliwa na waasi wa Misrata bado unaripotiwa kushambuliwa na majeshi ya wanaomtii Kanali Gaddafi.


 
EMT.
Tafadhali itafute hiyo post niliyosema hivyo,unioneshe kama ushahidi wa usahihi wa kauli yako.

Mimi nakuhakikishia haiwezekani kwa mimi kusema watu wasiangalie CCN ,bbc, al jazeerah...umechanganya madawa mkuu...umeelekeza makombora kwa mtu ambaye hahusiki na kauli uliyoitoa.

Ila la muhimu nafikiri ni mtu kutafuta habari kutoka pro and against outlets ili kupima uzito wa habari husika. mtu hapaswi kuwa bendera tu.
 


Kila siku tuwe tunazungumza baada ya uchunguzi...suala la libya ni la waafrika wote bila kujali kwamba kiongozi wao Gaddafi....na sababu ya arabs league of nations kumkataa Libya ni kwasababu miaka ya nyuma Libya ilikataa umoja wa waarabu na kujiunga na AU na hiyo ndiyo sababu kuu na kwakuwa watu wa magharibi wanatafuta kumwondoa Gaddafi wanawatumia waarabu ambao ndiyo vibaraka
wa magharibi....tuwe tunafanya utafiti hata wa kuuliza tu.
 
Gadafi ni king'anganizi ambaye kwa hakika anastahili kuondolewa. Lakini mwondoaji awe watu wake wa Libya, sio hawa mabeberu.

Namsifu Gadafi kwa kuwa kisiki cha mpingo dhidi ya hawa wavamizi.


Mimi naona hivi......hakuna haja ya kumwaga shutuma kwa Gaddafi na kukaa
kwake madarakani kwa muda mrefu ukizingatia kwamba wananchi wake kwa asilimia
90 wanaishi maisha bora na hata ukilinganisha na nchi nyingi za afrika na hata nchi zilizoendelea,tatizo liko wapi hata kama atakuwa kama mfalme Mswati na kudumu
milele ukweli ni kwamba maisha bora kwa kila mlibya yamewezekana.

Viongozi wetu wanabadilika kila miaka 10 lakini je, hawagawani migodi na ''mafirst
ladies'' kung'ang'ania miradi ya kitaifa na kila waziri basi ''wife'' wake ni lazima awe na NGO yake....tuacheni ushabiki wa kimichezo ''usimba na uyanga'' utusker na usofa paka''
 

Hata mimi nipo nawe si kama nampenda Gaddafi ila ni kwasababu ya uonevu wa watu wa magharibi tu.

I hate them white people from western countries.
 
Binafsi namchukia Ghadaffi hasa ukizingatia uongozi wake wa kidikteta. Lakini kuna maendeleo. Issue kubwa hapa ni lengo la hawa wavamizi. Na wamefanya haya katika nchi nyingi sana kwa lengo la kupora mali asili za Afrika. hawa ni wezi.

Tusiwe tuna akili za kuiga....wakuu tuna maanisha nini kumwita mtu dikteta
au kifupi dictatorship siyo serikali na kama siyo kwa mujibu wa watu gani? je, watu wa magharibi au Amerika?....hili jina la udikteta anapewa yule tu anayesimamia rasilimali
za nchi yake vizuri.....tuache chuki binafsi tunaikandamiza Afrika.


IKIFIKIA SUALA LA AFRIKA TUKUBALI TU KWAMBA AFRIKA NI YETU HATA KAMA INA DOA LA UOZO.

 
Hakika hata mimi naamini ya kuwa Gadaf atashinda hii vita dhidi ya waroho wa mafuta ya Africa. Marekani hawawezi kupeleka jeshi la aridhini kwani wanaogopa wasije yakawakuta yaliyowakuta huko Somalia. Long live colonel Muamar Gadaf! All African isipokuwa wanafiki tu we are behind you. Inshalah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…