DEATH TO OBAMA DEATH TO CAMEROUN N USELESS UN...Ghadaffi for AFRIKA WE LOVE HIM
It didn't work? 75-85% ya mafuta ya Libya ilikuwa inauzwa nchi za magharibi, makampuni kama shell, bp na exxon mobil yalikuwa yamesaini mikataba ya mabilioni na serikali ya Libya few years ago ili yachimbe mafuta na kusambaza. Makampuni ya uingereza yalikuwa yameshaanza kulobby ili yauze silaha Libya.Its all about resources....they used romantic ways it did not work....now its kill,divide,rule and then take as much as you want and then they will leave.
And we will always love Gaddafi....dead or alive....his spirit will endure and history will remember him :lalala:
gaddafi mimi simpendi-na naamini atatoka tu madaraki muda si mrefubelieve me, kuna watakoona comment yako na kusema umepitwa na wakati, simply wamekuwa, brainwashed, waabudu na addicted to yes for everything the wests and us in paticular are doing.
........
Mimi nafikiri viongozi wa Afrika Kwa dokezo hili walitakiwa waamke wapinge kwa uwazi mashambulizi ya NATO. Kwa sababu hapa hawa NATO na US wameisha uonyesha ulimwengu kuwa wana" hila". Na pengine viongozi wetu wakifanya hili wanaweza kuwadhibiti kiasi cha (NATO na US) wakawa wanafikiria mara mbili kabla ya kufanya uharifu kama huu. Kukaa kwao kimya haitawasaidia kwani hawa "waroho" wa rasilmali(NATO na US) wakiamua kuja kuchukua na hapa kwa nguvu(mfano mkirekebisha mikataba kuzibana kampuni zao ziporazo kila kukicha) watafanya hivyo,. na hawatajari kuwa mkuu wenu aliwatembelea mara ngapi kuomba vyandar**. Na kama watatekeleza azma yao hii basi Waafrika(AU) tutakuwa tumedhalilishwa kwa kiwango cha hali ya Juu. "God forbid"
aagh hivi huku bado vita inaendelea???mi niko busy na indian cricket premia league!!
AFRICOM and America's Global Military Agenda: Taking The Helm Of The Entire WorldI think we don't want anymore UN, UN now days is for super power countries! we need to dissolve it, it dont have value anymore like before.