The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Lini nchi za Kiafrika nasi tunaweza tukawa na sauti moja? AU wako wapi na wanasemaje juu ya hao majamaa wa NATO jinsi wanavyoshambulia Libya, ilitakiwa nasi tuwe na misimamo yetu ila hii inashindikana kwani viongozi wengi wa nchi za kiafrika ni pandikizi kwa nchi za Europe na USA hivyo wao ni bendera fuata upepo, demokrasia hakuna na hawa jamaa kamwe hawataki tuungane kwani tukiunga tuko vizuri kuliko wao, kwani nani asiejua kuwa utajiri wa ulaya uliporwa toka Afrika? Jamani yanayomkuta Gaddafi ni kwasabau ya msimamo wake juu ya nchi yake na Afrika kwa ujumla, Museven leo anawaletea shida upinzani hii yote ni kwa sababu ya USA wako nyuma yake na pindi wakimbadilikia ataikimbia nchi. Nadhani ingekuwa nzuri kama walibya wao kwa uwingi wao wakaamua hatma ya Raisi wao na si kikundi cha watu au kabila fulani, kibaya zaidi wanasema hata akiachia madaraka asikae Libya atafute kwa kwenda kuishi, hii nini maana yake?? Madaraka wanayataka, bado ukiachia uhame nchi hii kuzimu sijui ni ya wapi jamani.
 
This is very hypothetical argument, how is it possible? yaani kila ukikutana na mwanamke unabaka, baada ya dk 1,2 unabaka mwingine, sasa ukipita mtaa kama wa Kongo utakutana na wanawake wangapi?utabaka wangapi?hata kama umemeza viagra, haiwezekani? Wanataka watuambie, mabomu yanapigwa na huku wanaume wanasimamisha na nihii zao?? stupid arguments
 
huwezi jua ndugu yangu, labda ni propaganda za hawa wazungus
 
Ghadafi has no choice now it is just a matter of time because NATO and the West have already set up a big budget for this. I do not see how they can change their mind. He falled in the trap by starting killing his own people instead of negotiating with them in the beginning.
 
Akubali kupumzika,muda wake umekwisha!!chenye mwanzo kina mwisho pia!!
 
Inasemekana Gadafi anagawa viagra kwa wanajeshi wake ili wawabake wanawake wote ambao wapo against naye. hii ni style mpya . Ocampo amesema kuwa hii style imekuwa ikitumika na wanataarifa kamili kuhusu hili .
kama ni kweli basi huyu jmaa atakuwa kwenye hali mbaya sana yeye na wanawe
 
This is NONSENSE...Ghadaff hawezi fanya ujinga kama huu...hizi ni propoganda za haya majizi ya ulaya yanataka kumuua so yanaona aibu yanaanza kuongea upuuzi kama huu...wanawake wangapi wanampinga Ghadaff wako wa[i kwanza hao?!! Afrika amkeni mnadanganywa mnashadadia eti kawapa watu Viagra...

OCAMPO ni tapeli lingine limewekwa pale na hawa wauaji liwasaidie kuua wale wasiopiga magoti mbele ya hawa mambwa...watu wangapi wanakufa Syria kwa sasa ama YEMEN?!! Where is this rat OCAMPO?!!! OVYOOO
 
Inasemekana Gadafi anagawa viagra kwa wanajeshi wake ili wawabake wanawake wote ambao wapo against naye. hii ni style mpya . Ocampo amesema kuwa hii style imekuwa ikitumika na wanataarifa kamili kuhusu hili .
Mkuu, naona na wewe umeingia kwenye mkumbo. Kweli wazungu kibogo
 
Hotuba ya Gaddafi 07 June 2011

During heavy NATO's bombing of Tripoli, in the most aggressive air-strike since the bombing began, brother leader Muammer Gaddafi gave a speech on a National TV. He said:

"You should be ashamed, you will never terrorise Great Libya, you can't terrorize the enduring Tripoli!
Tripoli destroyed Spaniards and Skulaip and the Knights of Malta and Byzantium, Romans, Italians!
They were all broken on the rocks of Tripoli!
Glory to Tripoli!
Glory to Libya!
Libya is undergoing the deadliest, the most barbaric, and the savagest campaign, but we will not go down! We will not surrender! We have only ONE OPTION, and that option is OUR LAND, and WE ARE LIVING THAT OPTION NOW!
Life or Death, it makes no difference to us!
This is Our Option!
This is Our Land!
We will not leave it!
We will not betray it!
And, We will not sell it!
You tyrants, fascists, you are UNJUST!

You, sons of no man's land , you are in front of several options:
Go back to your country!
Repent, you blood-thirsty people!
Withdraw!
Pull your generations out of this!
Leave Libya to it's people!
Libyan people will resolve this battle, and We will put an end to this on our own. You have to conform to the will of The Libyan people.
Milions will march toward the mountains or any area where armed gangs are. Those gangs which called you to open your fire on us. Libyan people will march towards the east or the west or wherever gangs are. Millions will march to DISARM them! Millions will march to disarm gangs without fight in front of the world. Your airplanes will not be able to stop these millions marching, nor will the gangs be able to stand strong,even for a minute,while facing these millions marching.
We will march together- men, women with our children and our elders to liberate and clean our land. This is our historic duty!

No weakness!
No betrayal to our history!

We will not betray ourselves! You can pour your fire on us, as you like,but you will find no cowards here! We are stronger than your rockets, stronger than your airplanes, Our voices are more stronger than the sound of bombing! THE WILL OF LIBYAN is stronger than your aircraft carriers! It is not the first time for you to bomb Us, to be defeated and to regret it!
I'm speaking as a Libyan at this hour and I know that our country will be gloriuos, having a High spirit. Libyans are making this country glorious and our generations will be proud of it.

Our children and grandchildren are and will be proud of us and our brave enduring. We will defeat our enemy.
We don't care about victory now and we don't care about life or death. We decided to do our duty, to fight against imposed and unjustified aggression!

We weren't the reason to this battle.
We decided to do our duty that We have to do, duty for Our history, for Our grandfathers who sacrificed themselves for this land, and for the generations who will live in Libya.
You are just Ere in the sea. You are chasing the mirage.

What do you want ?
Did we hurt you?
Did we cross the sea ?
Why are you bombing Us?
You want us to go down ?
GO TO HELL!
We will never go down.
We are welcoming death. We don't want to live with NATO!
We don't want to live under your rockets and your airplanes, we don't need it.
This is not a Life.
Martyrdom is better million times from such a life!

Dear Libyan I know Your will is strong, make it stronger. Raise Your head!
I see youths in Bab Azyzia, when they bombed us,many youths came to Bab Azyzia. They are Libyan people! And you think they will go down?

Men and women are in the battle of pride.
We don't care about life and death, We care about our duty.
Our duty for the future!
This is Our land and you come to attack Us in our land!
Even Libyan women were angered so much that they thousands of them came to train how to use weapons. They are great Libyan women training to use guns for battle.
You will never defeat armed people.

Dernah will raise up, Benghazi will raise up, you know those tribes of Berqa who attacked you before. You know how brave they are. You offend Benghazi when you visit it with your dirty men, you wanted to offend people of Benghazi.
These tribes will wipe out the shame.
There are no (exist?) and no value for the traitors!
They are nothing.
People will endure.
Right now while I'm speaking they are bombing quite near me .... and airplanes are above me but my soul is with God!
Go Ahead millions, march to the West and to the East of Libya, for duty!"

Brother Leader Muammar al- Gadhafi

Source

My take: Ingawa kuna ukweli flani kwenye hii speech lakini waswahili walisema, mfa maji haachi kutapatapa!
 
Hotuba ya Gaddafi 07 June 2011
My take: Ingawa kuna ukweli flani kwenye hii speech lakini waswahili walisema, mfa maji haachi kutapatapa!

Mkuu, ukweli upi uliouona wewe katika hiyo hutuba?
tufungue macho , mimi sijafahamu kitu.
 
Mbona dalili si nzuri kwa US na washirika wake huko Libya!.Hivyo hivyo Yemen na Syria.
Tukirudi Libya.Mwishowe kweli Ghadafi kwa namna hii au ile ataondoka.
Kwa sasa inaonekana waasi hawana watu wa kutosha kutawala Libya.Ikibidi kwamba wao ndio watawale itakuwa ni utawala wa mabavu na vita vya kila siku.Hapo Marekani na washirika wake kila siku watatangaza kuwa rebels wamewataka wasiondoke kwanza mpaka mwaka 2025,........
Angalia mabomu yote hayo Tripoli iko tulivu na vijana wa Ghadafi kila siku wanavinjari miji yenye uasi,hata wakidondoshewa mabomu na kufa bado wanasonga mbele.Unatarajia nini baada ya rebels kupewa madaraka?.Mimi hisia zangu ni kuwa hawa wanaopigana na waasi si kwa ajili ya kumpenda au kumtetea Ghadafi bali ni wale wanaopinga uvamizi.Hivyo hata Ghadafi akiwa hayupo wao wataendelea kuendeshana mchakamchaka na Nato na rebels wao.Huko mbele vita itakuwa chungu.
 
Gaddafi anazidi kujichanganya!

Gaddafi Writes Letter to Congressional Leaders

ABC News’ John R. Parkinson reports:

Libya dictator Muammar Gaddafi has apparently written a letter addressed to Congressional leadership and the White House, a week after the House of Representatives passed a resolution demanding the Obama administration explain the legal justifications for committing U.S. armed forces to enforce a no-fly zone there.

In the three-page letter, Gaddafi says he “reviewed with great interest the deliberations of the Congress on the issue of the participation of the United States of America in NATO's aggression against Libya, and I want express my sincere gratitude for your thoughtful discussion of the issues.”
Gadhafi also calls for "a cease fire, the funding of humanitarian relief and assistance in fostering and furthering accommodation between the parties within Libya that are at odds."

“We are ready to sit at the table with appropriate internal interlocutors lead by the United States. Let's stop the destruction and begin the negotiations to find a peaceful solution for Libya,” Gaddafi writes. “I appeal to you, as the great Democracy, to assist us to determine our future as a people. Our Nation must not be colonized again by Europeans. Our Country must not be divided again.”

Sources say that the authenticity of the letter has not been confirmed. The letter is dated June 9, 2011 and is signed by “Muammar Gaddafi, Commander of the Great Revolution.”

A spokesman for Speaker of the House John Boehner tells ABC News: “If authentic, this incoherent letter only reinforces that Gaddafi must go. There’s no disagreement about that. That’s why so many Americans have questions – which the White House refuses to answer – about the administration committing U.S. resources to an operation that doesn’t make his removal a goal.”

-ABC News

 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…