Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Mkuu Nonda apo Gaddafi aliposema hiviMkuu, ukweli upi uliouona wewe katika hiyo hutuba?
tufungue macho , mimi sijafahamu kitu.
kuna ukweli ndani yake manaake alipokuwa anarekodi risala yake NATO walikuwa wanaangusha mabomu Tripoli wakati huo huo!Right now while I'm speaking they are bombing quite near me...
Do you really believe this? First of all, NATO rebel ni nini? Ni rebels au Nato forces, hakuna nato rebel. Second, this story is obviously made up by someone with akili ya kitoto, rebels dont care if libyans like NATO, NATO doesnt even care. I will agree MUCH more investigation needs to go into ICC reports, i smelled propaganda from the get go..[/B]These are daily occurrences, not isolated events. And Gadhaffi's soldiers are not responsible. In fact, pro-Gadhaffi and "neutral" families are targeted as the victims of the attacks. Some of the NATO tactics may have occurred in hopes of laying blame on Gadhaffi's door. However the attacks are back firing.........Habari hii inafichua mambo ya kutisha yanayofanywa na NATO pamoja na washirika wake dhidi ya raia wa LibyaIsome kwa undani upate ukweliChanzo >>>Before It's News
Muammar Gaddafi's New Safe Car
by Vikrant
Colonel Muammar Gaddafi from Libya was is recognized worldwide for his penchant for luxury fashion and other oddities has reportedly designed himself a new car, which is claimed as the safest car in this world.
The car named as the Saroukh el-Jamahiriya, meaning ‘Libyan Rocket' is a saloon car fit for five people. The car is designed to resemble a rocket in shape from its front and tail end. The car is powered by a V6 engine which delivers a max power of 230bhp. The car was unveiled during the African Unity Organization's conference in 2009, by Gaddafi.
This car is available with airbags, collapsible bumpers that supposedly help during a crash, and an electronic defense system. As for the function of the electronic defense system, it is not yet known how the feature will operate and what exactly it does
The Libyan Arab Domestic Investment Co. chairman, Dukhali Al-Meghareff, who produced the prototype for the company said that this car was a revolutionary model in the history of automotives. He went on to say that their leader spent many hours to come up with an effective answer. This car is the safest car to be produced anywhere in the world.
Source: Techextant.com
Tatizo si ni hilo hilo!;kufa kwa watu wasio na hatia.Kwa akili safi yakn NATO wanaficha ajenda gani basi? Pale mexico ni viongozi ambao wanaua wananchi bure au ni gangs (wauzaji wa madawa za kulevya) ?
inasemekana gadafi anagawa viagra kwa wanajeshi wake ili wawabake wanawake wote ambao wapo against naye. Hii ni style mpya . Ocampo amesema kuwa hii style imekuwa ikitumika na wanataarifa kamili kuhusu hili .
Nguvu za kiume wanazo ila wanatakiwa wabake wanawake wengi kadri inavyowezekana and so... viagraKwani askari wa gaddafi hawana nguvu za kiume,.....aaaaaaaaaaaaaaaah!..ocampo nae bwana
My take: Ingawa kuna ukweli flani kwenye hii speech lakini waswahili walisema, mfa maji haachi kutapatapa!