Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
African Union sasa itakwenda mrama!
Lakini mpaka sasa, pamoja na Lybian TV kutokuwa hewani tena, Walibya wengi bado hawaamini. 40 years under gadaffi rule sio mchezo kaka. Unaweza ukafikiria unaota vile. Gaddafi mwenyewe hapo alipo atakuwa anaona mauzauza vile. Ulevi wa madaraka mbaya sasa hasa unapoondolewa kama hivi.
Ningependa kujua hali ya yule news presenter wa Lybian TV aliyechimba biti mchana kuwa haingii rebel studio. Rebel wametinga ndani ya Libyan Radio sasa.
Viongozi kama akina Robert Mugabe ni afadhali waanze kutafakari kabla nao hawajaadhirika!Siurahishwi na vita hii ya NATO ila ninafurahishwa na kitu kimoja. Watu wakisema basi ujue hauna jinsi ni kufungasha, nguvu ya mabomu na risasi itakuweka madarakani kwa muda tu ila. Pia hili ni soma kwa viongozi wote madikteta na hasa wa Afrika kuwa uongozi si kumiliki majeshi na silaha, bali ni kupata ridhaa ya wananchi. Chaguzi zetu nyingi zimekuwa zikichezewa watu wanatawala bila kupata ridhaa ya wananchi huu ni udikteta mwingine tena mbaya zaidi ya wa gaddafi. siku wananchi walisema enough is enough....
Well, yes I can blame him. Hakusoma alama za nyakati. Baada ya kukaa madarakani for nearly 41 years, angeondoka mwenyewe na heshima yake ingebakia pale pale. Lakini yeye akajifanya anajua zaidi, leo anaomba ceasefire baada ya kuzidiwa? Nimesema huko nyuma, hata kama ana uroho wa madaraka angefanya kama Putin. Unaachia ngazi halafu una rule kwa remote control. Una visa na majirani zako, unajua kabisa wanataka kukuibia na wanatafuta tuu kisababu chochote wakuangamize ili waibe, utawarahisishia kupata hiyo sababu?
Angekuwa mjanja yasingempata haya.Wapo watu wanaojaribu kulinganisha na Chavez. Japokuwa Chavez anamuunga mkono Gaddafi tawala zao ziko tofauti. Chavez is a true revolutionist. Sidhani kama Gaddafi yuko vile.
Kuhusu ku admit failure, ulishawahi kusikia politician ana admit makosa?
Kuhusu ku admit failure, ulishawahi kusikia politician ana admit makosa?
| Gaddafi's defences collapse in a dramatic turning of the tides in the six-month-old civil war. Last Modified: 22 Aug 2011 01:36 |
Siurahishwi na vita hii ya NATO ila ninafurahishwa na kitu kimoja. Watu wakisema basi ujue hauna jinsi ni kufungasha, nguvu ya mabomu na risasi itakuweka madarakani kwa muda tu ila. Pia hili ni soma kwa viongozi wote madikteta na hasa wa Afrika kuwa uongozi si kumiliki majeshi na silaha, bali ni kupata ridhaa ya wananchi. Chaguzi zetu nyingi zimekuwa zikichezewa watu wanatawala bila kupata ridhaa ya wananchi huu ni udikteta mwingine tena mbaya zaidi ya wa gaddafi. siku wananchi walisema enough is enough....
Lazima walale mbele hapo. Mkuu what is your opnion on this? Is this really a true revolution? Nilikuwa nawasikiliza experts wanabishana.Mmoja anasema, ukulinganisha na Tunisia na Egypt, this is the true revolution because they will have to rebuilt the country from the scratch including jeshi na kila kitu. Hii ni totauti na revolutions za Egypt na Tunisia because majeshi hayakubadilishwa. Yamebaki vile vile. Mwingine anasema, unlike Egypt and Tunisia, this is not a true revolution because wamesaidiwa zaidi na external forces, i.e Nato.
source iko wapi? Weka source then tutaendelea kuijadili post vinginevyo hatupotezi muda wetu. Propaganda!
Propaganda nyingi sana.Libya ishaharibika hivyo.Civil war ndo kwanza imeanza.Sasa wanaonyesha eti Tripoli imeanguka na kwamba wananchi wanashangilia na wakati ukweli wanaonyesha wananchi wa huko Bengazi wakishangilia hilo linaloitwa "ukombozi wa Tripoli"Yani ni sawa na kuwaonyesha wananchi wa Monduli wakishangilia kuangushwa kwa JK na huku ukidai ni bagamoyo.Ndivyo hali ilivyo huko.Tripoli ni makabila yanayomtaka Colonel.Hao magaidi wanaovamia kwa usaidizi wa NTO Wanamchukia kwasababu tu si kabila lao.Hawana hata uwezo wa kuunda serikali.Na mimi my take ni kwamba hao wanajeshi wa Gaddafi wamejichanganya na raia,wame lay low na wanakula timing tu.Walishindwa kujibu mapigo kwasababu wanajuwa NATO wako kwa juu watawalipua kwa order za hayo magenge ya kihuni ya tribes nyingine kutoka Benghazi na kwingineko wenye chuki na Colonel.Ngoja tuone mwisho wake na kama hawa magaidi makabila wataweza kuitawala Libya.I bet you they will never and Libya will never be the same.Mark my words.Duh! Libya TV is back on air. But it is broadcasting Green Square which is completely empty but with some few people holding Gadaffi's banners. Duh! Hii lazima itakuwa ni recorded. Au yule news presenters kweli katia biti nini?
Nimetafsiri neno 'rebel' kama waasi, sina neno mbadala kwasababu nikiwaita wapigania ukombozi nitakuwa nimechukua 'side'kwasababu Ghadafi atakuwa 'muasi' kwa maana hiyo. Sorry kama neno limeleta tafsiri isiyokusudiwaUnawaita waasi sio na Gadaffi ni nani? au hata wewe ukitaka democracy and freedom we can call you muasi... poor choice of words. Its over man forget about it na tuwaachia walibya wa sort out and rebuilding their country. Gadaffi had many years to change and help his people but he chose brutality and oppressing his people. Yes, its doesn't look ok when western countries help you but Lybians need support from outside. Who's next ... kikwete, mugabe, museven,