The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Walibya wanaoandamana Ghadafi amewakosea nini?
Hata Tanzania pia ukioneshwa mkutano wa Chadema-Mwanza utasema watanzania wote wanaunga mkono siasa za Slaa na Mbowe. Kumbe,Wala!

 


Hii ndiyo dawa ya waongo ambao siku zote hawataki kuona ukweli. Naomba mtoa mada aelewe kwamba hawezi badili ukweli kwa kuandika uongo humu wakati vyanzo vya taarifa tunavyo vingi kama Aljazeera Channel, na mitandao mbalimbali
 
Hata Tanzania pia ukioneshwa mkutano wa Chadema-Mwanza utasema watanzania wote wanaunga mkono siasa za Slaa na Mbowe. Kumbe,Wala!



Unajaribu kutoa Ujumbe gani ndugu? Ni kama hueleweki vile, pls kama mwanaume lazima uwe straight acha kuzunguka mbuyu. Tunataka kujua kama umevaa kaptula au suruali that all.
 

Mkuu hawa wamagharibi ni vizabizabina kweli, wazandiki na tena ni wanafiki wakubwa, kama kweli wanataka demokrasia duniani kwanza wangekepeleka manowari na wanajishi wao ivory coast kumng'oa dikteta Gbagbo. kwani ni zaidi ya wiki sasa wanajeshi wake wanaua watu wanao muunga mkono rais Outarra. Hivi leo wakisikia maandamano yametokea Saudia au Iran utawaona jinsi watakavyo anza vikao vyao vya kinafiki katika jina la umoja wa mataifa na kupanga mikakati ya kuweka vikwazo na uvamizi wa kijeshi.
Believe me hata kama wananchi wa nchi za africa mashariki, na kusini mwa jangwa la sahara tutaandamana kupinga serikali zetu tusitegemee msaada kwa hawa jamaa kwani serikali zetu sio makini na wala si tishio kwa nchi zao. Sanasana watakachofanya ni kutugawia silaha tumalizane wenyewe kwa wenyewe ili waendelee kuvuna rasilimali zetu.
 

It really depends on the source of the report. All western reporters including Aljazeera are pro anti government forces! Hence they will always talk against the pro government sources.
 
Watanzania tuwe makini na masuala haya ya udini. Kusema kuwa waislam wa TZ hawataki Ghadafi atoke, na wakristo wa TZ hamtaki Ghadafi is outrageous. Comment ya mtu mmoja does not reflect wishes za jamii/dini/kabila anakotoka. Hajasema kwa niaba ya waislam...... or kwa niaba ya wakristo.....
To bring this religious issue forward one need to have done his homework, a research, at least jolt forward with something vivid.
If you were following this arab fire from the beginning, Tunisia, and Egypt. US paricularly said Mubarak should step down mwanzoni kabisa, na hakubadilisha statement.
When it came kwa Libya US ikasema Ghadafi must end use of force against civilians. Out of blue then he shouild go. Hapa ni ishu of self interests and who's the successor.
Tanzania sidhani kama tuna maslahi yoyote kwa Libya, I stand to be corrected, and we should stick with our stinking home issues.

Merely pondering.
 
hawana maslahi Cote d'Ivoire. Hata kama nchi nzima watuawa they just dont give a damn. Tuliona 1994 Rwanda manslaughter hakukuwa cha security council wala cha umoja wa mataifa. The killing went on for over 3months damn it! Hakuna madini, hakuna mafuta, magaidi, wauane kivyao ni nchi yao finito.
Muamar Ghadafi in his last speech to the UN he put it and liked it "TERROR COUNCIL" Akimaanisha security council.
 
Waislam wa Tanzania hata kwamba Gadafi alishawahi kutuma majeshi yaje kumsaidia idi amini dadaa kuipiga Tanzania, wao hadi leo bado wanampenda na kumsapoti Gadafi, kwasababu yeye ni extremist wa kiislam ambaye hana utofauti na osama bin laden....nasikitika kwamba, mwaka huu ni mbaya kwake. lazima atatoka tu hata kitumia nuclear...na wote wanaomsapoti wataaibika midomo wazi....nampa wiki chache sana kuanzia leo...na akitoka tu, the Hague inamsubiri kwa crimes against humanity alizofanya kwa kuruhusu public massacre kwa civilians...UN security council imesha refer iyo kitu kwa prosecutor, na investigation ikifanyika muda wowote atapigwa arrest warrant, ataishi maisha magumu maisha yake yote, akitembelea nchi yoyote anakamatwa, na asset zake wamefreez...angelijua angejitokea mikono myeupe kama alivyofanya Mubarak....pole yake, na pole kwa supporters wa magaidi waliopo Tanzania....
 
Usipitwe na matukio.Angalia habari kuhusu Benghazi hivi sasa iko karibu kurudi mikononi mwa mheshimiwa Ghadhafi.Kumbuka hii ndio ngome ya upinzani.
Meli za kijeshi za Marekani ziko njiani kwenda huko.Jiulize zinakwenda kufanya nini ?. ikiwa si uchokozi.Na jee huku si ndio kuaibika ?.
 

Kwa nini westen hawaendi Ivory Cost ambako kuna mgogoro mkubwa na jamaa kapora Urais Dunia yote inajua?
 
GADDAF YUPO ON AIR MUDA HUU KWA MARA NYINGINE TENA-MUDA HUU ANASEMA YEYE HAFWATILII SATELITE TVs,SO HAJUI NINI WANACHOSEMA WAO
 
Endelea kutuletea anachosema MKUBWA via tv...
 
added that protests in support of him are not shown on tvs,added that all protests against him are initiated by outsiders and al-qaeda
 
added that protests in support of him are not shown on tvs,added that all protests against him are initiated by outsiders and al-qaeda

This means...watu wa magharibi wanabagua kuonyesha protests za wanaomuunga mkono.
 
said one of the battalion named after him is the source of rebellion in the east
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…