Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Huyu jamaa yako hakuna mahali ametaja Africa au waafrica. Ameegemea sana kwa waarabu na waislamu. Hayo ni makosa makubwa sana!VIPENGERE HIVI HUWEZI KUVIPATA KATIKA 'POSTS' ZA "ASKARIKANZU", HIVYO SOMA KWA UNDANI ALIYOSEMA DR.IBRAHIM Moussa msemaji wa serikali ya LIBYA.
Wewe ni mwendawazimu au...?
Sawa, wivu unanisumbua. Umeridhika? Unaposema unafanya nini hapa, una maana hapa wapi?Bora mimi kuliko wewe wivu unakusumbua si uende Libya ukanywe damu kama wenzio ma jesuit..unafanya nini hapa
Huyu jamaa yako hakuna mahali ametaja Africa au waafrica. Ameegemea sana kwa waarabu na waislamu. Hayo ni makosa makubwa sana!
Sawa, wivu unanisumbua. Umeridhika? Unaposema unafanya nini hapa, una maana hapa wapi?
Nina hakika una matatizo flani hivi!Hakuna mtu asiejua Ghadaff ameisaidia sana Afrika na mipango yake kwa Afrika ilikua mizuri tu...sasa unataka ataje nini wakati wewe uko na NATO...wanywa damu za watu
Sasa na wewe si uende huko Libya ukamuokoe Gaddafi. Do you happen to have some personal grudges with me or what?Hapo hapo ulipo manake ungeenda Libya kule mkasaidianae na Nato na Jalil kuua Waafika
Sasa na wewe si uende huko Libya ukamuokoe Gaddafi. Do you happen to have some personal grudges with me or what?
Nani asiyejua hayo unayoandika? Naona dawa yako ni kukupotezea tu, manaake ni kama vile umechanganyikiwa!I hold No grudges with u!! why should i?!! ila the fact is NATO is killing our brother and Sisters in Libya which is inhuman, Afrika MUST say NO to this aggression coz for years and years now our Continent have been badly victimized by these Europe and Us kwa kisingizio cha Demokrasia...hawa ni wabaya sana na akama unataka ukweli wao nikupe vielelezo vyote uone jinsi gani walivyo mambwa huwa nashangaa sana ukikuta Mtu mweusi anaungana na hawa watu against your fellow Africans!!!
Nwy wewe umeanza kuniita mwenda wazimu mimi sio mwenda wazimu nina akili timamu kabisa ...
Huyu jamaa yako hakuna mahali ametaja Africa au waafrica. Ameegemea sana kwa waarabu na waislamu. Hayo ni makosa makubwa sana!
MpigaKelele mbona sasa maandishi yako unayafanya mazito (bold) halafu hili jina langu unachanganya rangi kama bendera ya waasi vile. Ndo iweje?ASKARI KANZU yuko kazini, msishangae sana, ndiyo kazi aliyoichagua''kuwagawa walioungana(waafrika) kwa maslahi ya......", ingawa nafsi ina msuta kwa anachokifanya.
Nani asiyejua hayo unayoandika? Naona dawa yako ni kukupotezea tu, manaake ni kama vile umechanganyikiwa!
Libyan convoy with gold, cash crossed to Niger-NTC spox
Tue Sep 6, 2011 9:33am GMT
Sept 6 (Reuters) - BENGHAZI, Libya, Sept 6 (Reuters) - A Libyan convoy of 10 vehicles carrying gold and cash crossed into Niger late on Monday, an official from the National Transitional Council (NTC) said on Tuesday, citing sources among the Tuareg people who live in the Sahara desert on both sides of the frontier.
"Late last night, 10 vehicles carrying gold, euros and dollars crossed from Jufra into Niger with the help of Tuaregs from the Niger tribe," Fathi Baja, head of the NTC committee for political and international affairs, told Reuters by telephone.
He said he believed the convoy consisted of loyalists of Muammar Gaddafi who were fleeing the country. Baja said he could not confirm an account, given to Reuters by French and Niger military sources, that some 200 Libyan army vehicles had also crossed into Niger late on Monday.
Wamarekani hawaaribu nchi zetu. Tunaziharibu wenyewe kwa msaada wa hawa jamaa. Kama tungejari maslahi ya watu wetu kwanza, wamarekani wangetupatia wapi?