Kabla NATO kuingia Libya na kuwapa "tough" waasi, walisema Gaddafi kafanya mauaji ya watu wapatao 6000...idadi hii mwishowe ilishuka kufikia 200+ na hii ndio sababu waliyotoa kuwa Ocampo anamtaka Gaddafi afike ICC. Baadaya ya NATO "protection of civilians" idadi ya waliokufa imefikia 30000-50000. Na hapo bado kazi ya "ku-protect" haijakamilika.
Katika hali hii hivi nani kati ya NATO na Gaddafi afikishwe ICC?
Yaani huoni raha bila ya kumtaja Askari Kanzu sio? Sasa mimi n'nahusikanaje aisee?...Swali lako hilo unaweza usipate jibu kutoka kwa ASKARI KANZU.
Yaani huoni raha bila ya kumtaja Askari Kanzu sio? Sasa mimi n'nahusikanaje aisee?
Wote hao wafikishwe ICC, yaani Gaddafi na NATO. Lakini kwa kutumia sheria ya porini (law of the jungle) ambayo ndio itumikayo katika maswala ya kimataifa, ni Gaddafi tu ndie atakayesakwa na kufikishwa kwa pilato! Labda uwashitaki NATO kwa AU!?Pole na majukumu mkuu,
Swali la Mkuu Nonda linalouliza hivi" ,Katika hali hii hivi nani kati ya NATO na Gaddafi afikishwe ICC? " umeliona?