"They (NTC) are trading with our blood -- they have luxurious cars and houses while we suffer,"
Libya's interim leaders came under increasing scrutiny on Wednesday from fighters who accuse them of not doing enough for combat-wounded troops dying of treatable injuries in the field and languishing in crowded hospitals.
Zaidi hapa Libyan leaders grapple with growing discontent among wounded | News by Country | Reuters
Hawa walifurahia msaada wa NATO kuzidondoshea mabomu hospitali za "Gaddafi", sasa yamekuwa haya?
Hivi hawakujua kuwa walikuwa wamedanganywa na NTC?
Watamkumbuka sana dikteta Gaddafi kwa kuwapa matibabu bure. Waridhike tu, sasa wamepata domokrasia, bana.
NTC wenyewe wanaogopa kivuli cha dikteta, hawajijui hawajitambui kulingana na habari alizotuletea Mkuu Askari Kanzu hapo juu, watapata wapi muda wa kuagizia madawa? NTC ndio kwanza wanaagiza silaha na mabomu zaidi kujilinda na wapiganaji 12,000 wa Gaddafi wanaokuja Libya kwa magari 68 yenye wapiganaji kwa uchache nane kwa kila gari.
Poleni sana ndio gharama za domokrasia hizo. Wengi wafe na wapatwe na majanga ,wachache wafanye biashara na shetani. Hapa utaelewa kauli ya kibibi kichawi ya kutaka Gaddafi auawe.