Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
CNN wanasema hawajui for 100 percent sure,wanasubiri picha nk.Wanadai there were mistakes before.Hawa NTC hawaaminiki ndo maana wana sita kukubali moja kwa moja,walete picha.
Tv zinaonyesha wapambe wa waasi wakishangilia na kupiga honi,nadhani ni huko kwao benghazi.
information minister wao anadai wanataka Gaddafi ashitakiwe ndani ya Libya.Hii shughuli naona ndo kwanza inaanza.Lets wait and c what they gonna do with him,naamini bado ana karata zake valid in the game.
Wakimfanyia mbaya watakuwa wamechemsha sana.Watashindwa ku reconciliate wakifanya hivyo.Namuombea wasimfanyi vibaya, maskini.