Ujumbe gani?. Hauwezi kuilinganisha Gadaf na ccm. Pia Afrika tumempoteza kiongozi wa ukweli.
R.I.P Gadaf.
Mzee Pambaf!
Mijitu inayofikiri kwa kutumia Masaburi huwa haielewagi upesi.
Unaposema huwezi kulinganisha CCM na Ghadafi una maana gani? Ghadafi ametawala Libya kwa MIAKA 42, CCM wameitawala Tanzania kwa miaka 50 tangu enzi za TANU! Kwa maana hiyo CCM imekaa madarakani muda mrefu zaidi kuliko hata huyo Marhemu Ghadafi!
Mzee, for your information this is a very strong message to CCM and all other DICTATORS in Africa. Today is Ghadafy,Tomorrow is Mugabe and NEXT IS CCM. Lazima CCM hapa mpate somo kuwa
KUNG'ANG'ANIA MADARAKA NI UJINGA,UPUUZI na UDIKTETA ambao hakuna mtu yeyote anaweza kuvumilia popote duniani. CCM na madikteta wote jueni kuwa watu tunataka mabadiliko na siku zenu zinahesabika.
Pamoja na Ghadafi alikuwa anawapa watu wake Elimu,Afya,Maji,Umeme na KUOA bureee kwa miaka hii 42 bado wamefikia mahali wakasema HAWAMTAKI maana YEYE ALITAKA KUIFANYA LIBYA NI MALI YAKE!CCM mmeitawala nchi hii kwa miaka 50 LAKINI mpaka sasa Tanzania hakuna Elimu,Afya,Maji wala Umeme BURE achilia mbali mambo ya kuoa!
Now,if that is the situation who is/was very likely to go before the other? Definitely is CCM! Ghadafi stays 42 years in Power with all necessary needs given FREELY to all Libyans. CCM is now 50 years in Power with all necessary needs NOT availed FREELY to NOBODY achilia KUTOPATIKANA kwa hizo huduma muhimu!!
CCM jiandaeni kufungasha virago mapema before 2015. Muziki wa 2015 hamtauweza asilani.
Mungu ibariki Tanzania.Mungu ibariki Africa.