Huo ni ujambazi na ushenzi wa viongozi wa Marekani,hivi Gadaffi hata kama ni mbaya miaka yote akiwa kiongozi wa Libya hakuna hata zuri moja alilolifanya hadi azikwe kama mbwa? kuzikwa na watu wanne tu ni dharau kubwa na tusi kubwa pia kwa jamii ya kiislam,hivi wazungu wataendelea kuwanyanyasa waiislam hadi lini?