The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

U.S. Tomahawk Cruise Missiles Hit Targets in Libya

U.S. military officials have confirmed the first American tomahawk cruise missiles have been fired at targets inside Libya from ships in the Mediterranean Sea.

The move is the first direct U.S. involvement in the international operation mobilizing to stop Libyan leader Moammar Gadhafi's attacks on opposition strongholds and enforce a U.N.-backed no-fly zone.

President Obama told members of Congress Saturday that he had not yet authorized the use of U.S. planes, but the military has a variety of resources stationed off the Libyan coast and at bases in nearby European countries prepared to support the effort.

The Pentagon has has two guided-missile destroyers in the Mediterranean, the USS Barry and USS Stout, two amphibious warships, the USS Kearsarge and USS Ponce, and a command-and-control ship, the USS Mount Whitney. The submarine USS Providence was also in the Mediterranean.

Source
 
Vita ya kumtoa Saddam madarakani ilianza March 19 2003
NATO bombing of Yugoslavia ambayo iliishia kumtoa Milosevic madarakani ilianza March 22 1999
Gaddafi naye ameanza kutwangwa March 19 2011.
 
Binafsi sijapenda mashambulizi ya westerners ndani ya Libya.

AU mbona kimya kama vile hawapo?? yaani mwenyekiti wao anavamiwa wao kimya?
 
Binafsi sijapenda mashambulizi ya westerners ndani ya Libya.

AU mbona kimya kama vile hawapo?? yaani mwenyekiti wao anavamiwa wao kimya?
Hahaha spineless AU ama wapi unaowazungumzia? Wakiwaponda western countries basi bajeti zao zinakosa hela, wakimponda Gaddafi basi naye anakata misaada bora wakae kimya na kujidai hakuna linaloendelea. Tanzania tulijidai mbele mbele kupinga na kupeleka jeshi Comoro kwa sababu ni wachovu haya ya Libya/Misri/Tunisia hatujatoa tamko.
 
Marekani wamelaunch first missile according to The Pentagon,Hivi sasa tunasubiri statement kutoka kwa Obama anytime.
Source:msnbc
Word is US wanachukua leadership command kutoka kwa Ufaransa na mission imekuwa code named Operation Odyssey Dawn
UK-MOD: Trafalgar Class Sub launches Tomahawk missile at target.
 
Binafsi sijapenda mashambulizi ya westerners ndani ya Libya.

AU mbona kimya kama vile hawapo?? yaani mwenyekiti wao anavamiwa wao kimya?

Mkuu AU na Arab League hawajakatazwa kama wanaona sio haki basi waanzishe kichapo dhidi ya the west
 
Yaliyomkuta sADDAm na wanawe wa kiume sasa yanamkuta pia gADDAf na wanawe wa kiume!
 
pentagon gives briefing on situation in libya
110 tomahawk missiles hits more than 20 targets in libya
this is just first phase of several international operations
 
Duh NATO are going all out naona 110 Tomahawk missiles kwenye 20 targets.
 
Mkuu AU na Arab League hawajakatazwa kama wanaona sio haki basi waanzishe kichapo dhidi ya the west

Binafsi naona kama wamechelwa hata kumshushia kipondo huyu Gadafi,hebu na wafanye haraka kutuondolea huyu Rais muuwaji wa raia wake
 

Njaa kitu kibaya sana
 
Hawa West anayewaweza kwa sasa ni Mungu pekee.Awapelekee Tsunami,Vimbunga na matetemeko ili wawache kuleta fujo kwa wenzao.
Sasa hivi Tv ya Libya inasema ndege za US zimeangusha mabomu kwa raia.Kwa kuanzia inaweza kuwa ni propaganda ya Ghadhafi lakini hayo ndiyo yatakuwa ndio matukio ya kila siku.Tume zitakazoundwa kuchunguza hazitotoa majibu na kazi itaendelea mpaka wamtie mkononi Ghadhafi na hatimaye wamnyonge bila kosa.
Tumeshuhudia harusi na matanga mengi tu Afghanistan,Pakistan na Iraq kuangushiwa mabomu,tume zikaundwa na vitu hivyo hivyo kujirudia.
Namshauri Ghadhafi awe mcha Mungu zaidi,atoke hadharani na watu wake amshtakie Mungu,wakati huo huo kila silaha alilyonayo asiweke kwenye ghala,atupe upande wa adui.Mambo yanaweza kuwa U-turn.
 
mtaishia kukoment kiushabiki bila kuangalia kiundani hili suala la libya, kila mtu anasema gaddafi ni dikteta lakini tunasahau kuwa tunatumia tafsiri na criteria za ulaya kujua yupi ni dikteta na yupi ni mwana demokrasia, katika hili tumeridhia fikra zetu kutekwa na wazungu na kuona kwamba wao ni exceptional kila watakachosema kinakuwa sahihi, mimi bado siamini kama ni kweli wananchi wengi wa libya wanamchukia gaddafi kama ambavyo vyombo vya habari vya kimagharibi vimekuwa vikiripoti na bila kusahau wamagharibi wana chuki na gaddafi, gaddafi ataondoka madarakani coz hakuumbwa kutawala milele ila kuna mambo mengi ya msingi ya kimaendeleo aliyowafanyia mwanachi mmoja mmoja ndani ya libya ambayo hata huyo ufaransa mwenye kimbele mbele kwenda kushambulia libya hajawahi kuwafanyia wananchi wake.
 
Walibya wanataka demokrasi!
Haya ndio wanapelekewa kwenye sahani sasa.(silver plate). wakae mkao wa kuliwa....nimeghafilika...wakae mkao wa kula.

 
Last edited by a moderator:
US hawana ndege kwenye anga ya Libya missiles zote zimetoka kwenye meli za US na UK.

By sunrise Surface to Air Missile nyingi kama sio zote za Libya zitakuwa zimeshaharibiwa.
 
Kazi ikiisha libya nguvu inahamishiwa ivor coast

Jamaa wamekuwa wastaarabu sana siku huizi, hawataki kutumia nguvu zao bila kupata ridhaa ya umoja wa mataifa, na support ya nchi jirani. Tukitaka waingie Cote d'ivoire, ni lazima AU ianze kwanza kumlaani Gbagbo na kuomba matumizi ya nguvu huko umoja wa mataifa. Kura ikishapigwa tu, basi kesho yake utawakuta jamaa wameshachukua Ikulu yote hapo Yamoussoukro na yule jamaa Gbagbo akiwa mfungwa namba moja. Tatizo la Afrika ni kuwa ni nchi gani itakuwa ya kwanza kumyooshea kidole Gbagbo? Kwa Libya, waarabu ndio waliochukua jukumu kwa vile akina Kikwete huku AU wasingefanya lolote .
 
hapo kwenye red mkuu-U.S.A hawajatuma ndege hata moja-wame-launch missiles zao kutoka kwenye warship
 

Mkuu...Too late for him. He had a chance, lakini kwa kiburi chake ndio kimemponza. Like Saadam, Ghadafi's days are numbered. He'll go down the toilet.
 
US hawana ndege kwenye anga ya Libya missiles zote zimetoka kwenye meli za US na UK.

By sunrise Surface to Air Missile nyingi kama sio zote za Libya zitakuwa zimeshaharibiwa.
shukrani naona umewahi kumpa jibu lake-good
 
Kumekucha... Gadafi ameshaanza kutandikwa wameanza Wafaransa na wamefuatia Wamarekani, site 20 zimekuwa targeted, wamerekani wamerusha zaidi ya 110 Tomahawak Missiles, tathmini ya uharibifu wataifanya machweo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…