Gaddaf anataka kugeuza hii vita iwe ya kidini-hilo hata weza-Itakuwa hivyo mkuu,
back to the topic,Gaddafi katoa statement...Gaddafi anasema wananchi wa Libya wanaomba msaada wa mataifa ya Afrika,ya kiarabu na kiislam kuwasaidia dhidi ya uvamizi wa crusaders.Anadai wanapigania uhuru.
Libya state TV wanasema wameiangusha ndege moja ya ufaransa.Waingereza nao wameanza strikes
Source:msnbc
My Take:Kwanini minchi yote hiyo dhidi ya Tripoli?Hapo utagundua wameshagawana especially hiyo miji yenye mafuta na huku wakija kwenye microphone wanadai ni kuwaprotect wananchi.Binafsi nadhani wananchi wanauwawa zaidi na consequences zake ni even worst kuliko uwepo wa Gaddafi madarakani...Picture the life of Libya as a nation in say 40 years to come,vita itawwathiri maybe the next 40 years or more to come,however i can almost guarantee you that Gaddafi would have been dead by then hata kama wasingepigwa vita.Nachukia kweli wanapodai Humanitarian concerns na wakati wanaifanya kuwa mbaya zaidi.
Security council si Arab League nor OIC......sikuwa nazungumzia Security Council bali Arab League
Arab League hadi baada ya Sarkozy na Clinton leo hawaungi mkono military intervention,wanachotaka ni no fly zone to protect civilians,westerners wanawatumia tu but msimamo wao haujabadilika
BTW: am not trying to answer....i know what am saying! :washing:
Sidhani kama atapata msaada wa kiwaziwazi,hata hivyo i can almost guarantee you that kama ni kweli hawaingizi ground troops right away simultaneously with the aistrikes,then consequences zitakuwa prolonged kwasababu vita itachukua muda mrefu zaidi hence more catastrophies...Halafu mlikuwa mnaiona Libya moja,sasa mtasikia stori za makabila yao na lipi sasa lina nguvu zaidi,kama ulivyosikia nguvu za shiite huko Iran....Sasa hivi nasikia kuna kabila moja huko kusini mwa Tripoli ambalo ndio lita determine future yake.Gaddaf anataka kugeuza hii vita iwe ya kidini-hilo hata weza-
wala asiumize kichwa chake kufikiria taifa lolote la africa likamsaidie
Itakuwa hivyo mkuu,
back to the topic,Gaddafi katoa statement...Gaddafi anasema wananchi wa Libya wanaomba msaada wa mataifa ya Afrika,ya kiarabu na kiislam kuwasaidia dhidi ya uvamizi wa crusaders.Anadai wanapigania uhuru....Nadhani pia ana imply uislam uko under attack kama cjakosea.
sasa wewe utafanya nini?
yes-Libya pia inaweza kugawanywa na kwa nchi 2Sidhani kama atapata msaada wa kiwaziwazi,hata hivyo i can almost guarantee you that kama ni kweli hawaingizi ground troops right away simultaneously with the aistrikes,then consequences zitakuwa prolonged kwasababu vita itachukua muda mrefu zaidi hence more catastrophies...Halafu mlikuwa mnaiona Libya moja,sasa mtasikia stori za makabila yao na lipi sasa lina nguvu zaidi,kama ulivyosikia nguvu za shiite huko Iran....Sasa hivi nasikia kuna kabila moja huko kusini mwa Tripoli ambalo ndio lita determine future yake.
Gaddafi pia amefungua ghala la silaha huko tripoli kwa wananchi waje kuchukua silaha na kuanza kazi ya ulinzi wa Taifa mara moja!
Source: msnbc news
Safari hii kajichimbia sehemu flani alafu anaongea na wananchi kwa kupitia simu ya kiganjani!Gaddafi katoa statement...
zaidi ya kushangilia?
How can you can you operate a no fly zone without military intervention? Is a no fly zone operation not military intervention? In reaching their decision, the Arab League issued two resolutions. One asking the security council to impose a no fly zone over Libya, the other resolution opposes military intervention. The two resolutions contradict themselves. Even the security council resolution is not clear on the mandate given. On one hand hand, it authorises operation of a no fly zone over Libya. On the other hand, it authorises member states to take "all necessary measures".
Libya could actually turn out to be a bad precedent for the West. Are they going to do the same in other countries? Demonstrators are in the streets of Yemen where the govt is killing the population in the capital, Bahrain, Saudi Arabia, etc. How about Ivory Coast?
Nadhani hiyo ndiyo immediate mission yao.yes-Libya pia inaweza kugawanywa na kwa nchi 2
Mwambie colonel aombe msaada wa kijeshi toka kwa Chavez, China, Mugabe na Ahemedinajad, ni maswahiba na washkaji zake kinoma lakini mbona wote wameuchuna na kuufyata nao? Nilitegemea wange-stand up and kum-defend him militarily. Si wamsaidie wakati wa shida kama huu, ama nao ni wale marafiki wakati wa furaha tuu kama JK, Arab League na AU?
Like Saadam, Gadhafi's days are numbered. He'll go down the toilet
Okay,nimekupata Sis Michelle....I did not intend to put any words in Gaddafi's mouth,ma bad.Haongelei UISLAMU,msimuwekee maana ya tofauti.....ameshasema anapigana na WESTERN IMPERIALIALISM!!!
huwezi kushangilia propaganda na hila za marekani ,uk na ufaransa, mbona hawajaenda somalia kuweka democrasia pale????. Mimi mwenyewe siiwasapoti but nimekuuliza swali hapa hujanijibu matokeo yake na wewe umeniuliza. (African style)
Okay,nimekupata Sis Michelle....I did not intend to put any words in Gaddafi's mouth,ma bad.
Michelle, hebu angalia hii:Haongelei UISLAMU,msimuwekee maana ya tofauti.....ameshasema anapigana na WESTERN IMPERIALIALISM!!!
thats where they stand until now, no military intervention...you can read the difference online....the UN is toothless to Americans interests,what did they do when Bush invaded Iraq? Ivory Coast is not a big deal to westerners....you can not compare cocoa with OIL,their economies can survive without what they are getting from Ivory coast...
Michelle, hebu angalia hii:
Gaddafi: Barakeh Obama is friend
Roee Nahmias|YNetNews February 24th, 2011
Libyan leader praises US president: 'He is of Muslim descent, his policy should be supported, as he now leans towards peace'
View attachment 25409
Libyan leader Muammar Gaddafi considers the US president a blessing to the Muslim world. In a speech published in London-based al-Hayat newspaper on Saturday, Gaddafi praised Barack Obama, called him a "friend" and said there is no longer any dispute between his country and the US.
Speaking in the Libyan city of Sirt at an event marking the 24th anniversary of an American attack on Libya, he said, "At the time, we were the target of the American cannon, the American navy challenged us in the gulf of Sirt and attacked us all along Libya's shores. America tested Libya, and the Libyan people resisted the large country, but today, thank God, the difference is great."
He said, "Now, ruling America is a black man from our continent, an African from Arab descent, from Muslim descent, and this is something we never imagined – that from Reagan we would get to Barakeh Obama."Gaddafi stressed that Obama's presidency is "a major historical gain" and said, "He is someone I consider a friend. He knows he is a son of Africa. Regardless of his African belonging, he is of Arab Sudanese descent, or of Muslim descent. He is a man whose policy should be supported, and he should be assisted in implementing it in any way possible, since he is now leaning towards peace