Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
Na ni muislamu juu yake vile vile! [Hapa sitaki kuleta hisia za kidini. Tunajadili tu!]...hata kama alikuwa na asili ya Sudan......:washing:
Tena akome na liwe funzo kwa watawala wanaonyanyasa wananchi wao kwa namna yeyote ile, atatumiaje fighter jet kuwapiga watu wake tena wenye manati tu, na atakoma kama vipi kamsaidie.Hakuna asiyefaham sasa chanzo cha vurugu za Libya ni Mwamerika na washirika wake,
nastaajabu kuna waafrika eti wanaojiita great thinkers wanakenua meno na kufurahia yanayoendelea libya sasa,eti ni "people's power" ,kweli?
haya ,sisi yetu macho na masikio,ila historia itawahukumu wale wote wenye tabia za akina chifu mangungo,,
pili, watanzania tukae tutafakali kwa kina kuhusu mustakabali wa maisha yetu kwa7bu upo mikononi mwetu.
Mtanzania hajawa mbumbumbu kiasi hicho cha kuanza kuelezewa matatizo yake na nini akifanye!,je wanaochukua jukumu la kutueleza haya matatizo yetu na nini cha kufanya wanafanya haya kwa maslahi ya nani?,
watz tusiwe watu wa kupenda kushabikia vitu tusivyovijua chanzo chake!,
TUWE WELEVU NA WADADISI TUSITUMIWE KWA MASLAHI YA WATU FLANI NA MABWANA ZAO WALIOKO ULAYA NA AMERIKA.
zaidi ya kushangilia?
Mmeshaanza kulia lia kuomba huruma ili mvua isiwanyee kama ni kipingo kipo tu huwezi kukikwepa.pili, watanzania tukae tutafakali kwa kina kuhusu mustakabali wa maisha yetu kwa7bu upo mikononi mwetu.
Mtanzania hajawa mbumbumbu kiasi hicho cha kuanza kuelezewa matatizo yake na nini akifanye!,je wanaochukua jukumu la kutueleza haya matatizo yetu na nini cha kufanya wanafanya haya kwa maslahi ya nani?,
watz tusiwe watu wa kupenda kushabikia vitu tusivyovijua chanzo chake!,
TUWE WELEVU NA WADADISI TUSITUMIWE KWA MASLAHI YA WATU FLANI NA MABWANA ZAO WALIOKO ULAYA NA AMERIKA.
Could this be the difference?
Anacheza na moto huyo hata Sadam alitumia mbinu hiyo ya human shield lakini pamoja na hayo akatandikwa tu.Gaddaffi amesema anawapa silaha raia wote ili wailinde Libya.
Kuna walibya wamejitolea muhanga kama "human shield" katika sehemu ambazo wanafikiri zitashambuliwa na West na US.
Kama atalifanya hili hii vita itakuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe.
The Libyan leader called the radio station to threaten retaliation for Western air and sea strikes on his country.French Jets Flying Over Libya; Allied Leaders Announce Military Action
He declared the attacks "an assault against a sovereign state, an assault against Libya" and claimed the Mediterranean had been turned into a "real battlefield".
The leader went on to inform civilians that "arms depots" had been opened so they could defend Libya.
Watu wenye kiburi kama Gaddaffi this is what they deserve. USA, Canada, France, UK etc. wanajaribu kutuma ujumbe kwa dikteta wote dunia huu ndio mshahara wao baada ya kufanya kiburi na kuzidi kuwatesa na kuwauwa watu wao.
Na ni muislamu juu yake vile vile! [Hapa sitaki kuleta hisia za kidini. Tunajadili tu!]
iNGEKUWA ENZI YA BUSHI MAREKANI MBONA HUYU GADDAFI ANGEKUWA KASHATINDULIWA ZAMANI
Quote uliyoiweka hapo juu kuwa ni tamko la Arab League walilitoa March 1st (ambapo walikuwa wanapinga No-Fly Zone) lakini violence zilivyoendelea wakaomba EU na UN waimpose no fly zone (Sasa ushawahi kusikia No Fly Zone enforcement ya bila kutungua SA-5s na AAs na any ground or air threat kwa ndege zitakazokuwa zina patrol anga?). Maadam wamekubali No Fly Zone basi wamekubali na provisions zake ikiwemo military intervention when necessary.Security council si Arab League nor OIC......sikuwa nazungumzia Security Council bali Arab League
Arab League hadi baada ya Sarkozy na Clinton leo hawaungi mkono military intervention,wanachotaka ni no fly zone to protect civilians,westerners wanawatumia tu but msimamo wao haujabadilika
BTW: am not trying to answer....i know what am saying! :washing:
Arab League Asks UN For Libya No-Fly ZoneMarch 12th 2011
CAIRO The Arab League called Saturday for the U.N. Security Council to impose a no-fly zone over Libya, a surprisingly rapid and aggressive move for a bloc known more for lengthy deliberations than action.
Analysts said the call reflected both a widespread dislike of Libyan autocrat Moammar Gadhafi and member nations' attention to the wave of pro-democracy protests sweeping the Middle East, which has toppled leaders in Tunisia and Egypt and threatens others.
The 22-member Arab bloc, which had already barred Libya's government from taking part in League meetings, said Gadhafi's government had "lost its sovereignty." It also said the bloc would establish contacts with the rebels' interim government, the National Libyan Council, and called on nations to provide it with "urgent help."
Western diplomats have said Arab and African approval was necessary before the Security Council could vote on a no-fly zone that would be imposed by NATO nations such as the U.S., France, Britain and Italy to protect civilians from air attack by Gadhafi's forces.
The U.S. and other countries have expressed deep reservations about any action that could draw them into the conflict. U.S. Defense Secretary Robert Gates has cautioned that establishing a no-fly zone would require an attack to take out Libya's anti-aircraft capabilities, but on Saturday he said setting up a restricted zone was possible.
In Saturday's statement, the Arab League asked the "United Nations to shoulder its responsibility ... to impose a no-fly zone over the movement of Libyan military planes and to create safe zones in the places vulnerable to airstrikes."
The Obama administration welcomed the decision, which White House spokesman Jay Carney said "strengthens the international pressure on Gadhafi and support for the Libyan people." He said the United States will prepare for all contingencies and coordinate with allies.
Amr el-Shobaki, an Egyptian political analyst, said the decision reflects the upheaval in the Arab world, which also includes serious unrest in Bahrain and Yemen as well as rumblings of anti-government dissent in Saudi Arabia, Jordan and Iraq.
"It would be very difficult for the Arab League to ignore the Arab people as they have in the past," he said.
Wanadai alibreak cease fire agreement na hivyo consuquences zake ni hizo tomhawk missiles....Hawa watu bana,walianza na no fly zone,sasa wanapata sababu za ku extend military intervention....Hata hivyo naamini kumwondoa Gaddafi si rahisi kihivyo,i have said before and i will keep on saying it,they better watch their steps,Gaddafi haendi mahali na pia si mjinga kiasi wanachodhani.
Umejuaje kama hajatahiriwa?huyo Bush kwa taarifa yako alianza Baba yake akatawala na muda wake ulipoisha akaondoka.
Na kwa kipindi chote hicho Gaddafi alikuwa madarakani, akaja Clinton na akapita na kumuacha, na kisha akaja huyu Bush mtoto nae akapita na kumuacha.
Sasa kaja huyu Mjaluo asiyetahiriwa, let us wain n c...
Live longer Gaddafi
Quote uliyoiweka hapo juu kuwa ni tamko la Arab League walilitoa March 1st (ambapo walikuwa wanapinga No-Fly Zone) lakini violence zilivyoendelea wakaomba EU na UN waimpose no fly zone (Sasa ushawahi kusikia No Fly Zone enforcement ya bila kutungua SA-5s na AAs na any ground or air threat kwa ndege zitakazokuwa zina patrol anga?). Maadam wamekubali No Fly Zone basi wamekubali na provisions zake ikiwemo military intervention when necessary.
Ndugu zangu,
Hakika Dunia hii hakuna anayeweza kutamba milele. Kama ni ubabe mtu anaweza kuwa nao kwa muda tu. Hivi ni nani aliyewahi kufikiri au hata kwa kuota ndoto tu kwamba Gaddafi atakuja kung'oka madarakani kwa nguvu bila ridhaa yake? Kwa jinsi hali ilivyo, Gaddafi atafikishwa katika mahakama ya kimataifa nchini Uholanzi ndani ya muda mfupi ujao.
Mataifa yenye nguvu za kijeshi Duniani yapo kwenye hatua za mwisho za maandalizi ya kuingia Libya. Muda mfupi ujao tutasikia mazito kutoka Libya. Mataifa hayo ni Marekani, Ufaransa, Uingereza, Denmark, Canada, n.k.
Labda hili linaweza kuwa fundisho kwa viongozi wengine wa kiafrika. Tuombe Mungu yasitokee kwetu.