Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na unazungumziaje kujituma kwa wachezaji wetu wakiwa mazoezini?ulevi,matumizi ya madawa ya kulevya(bange)?kitu gani kikifanyika kulikabili hili UTAFURAHI?
wewe inaonyesha maisha halisi ya wachezaji huyajui!tunakunywa nao bia wenzio pale kona bar(ambiance)!wanavuta sigara,pombe na wanawake masaa yote!vitu hivi kwa professional player ni mwiko!katika hili la kujituma naamini wanajituma na pia mbinu za kocha zinaweza kuwa sababu tosha ya wachezaji kujituma,
ulevi na bangi ni too personal kujadili ila siamini kama ina-madhara kwa mchezaji (stev gerrad wa liverpool na bendtner wa arsenal..ni walevi vibaya ila ndio engine za timu zao)
kingine ni kuwasaidia hawa vijana ki-elimu wawe na uelewa wao ni nani na wajifunze kuishi maisha ya -umaarafu wanaoupata na kuiheshimu soka kama ajira yao...thats it
sikubaliani na wewe hapo kwenye nyekundu...kwani wewe unawafahamu wachezaji wangapi kwa mahesabu yako ya haraka haraka..wewe inaonyesha maisha halisi ya wachezaji huyajui!tunakunywa nao bia wenzio pale kona bar(ambiance)!wanavuta sigara,pombe na wanawake masaa yote!vitu hivi kwa professional player ni mwiko!
huyo gerrard na bendtner wanaongoza kwa kujituma mazoezini,halafu wanakunywa wikiends tu baada ya mechi.POLE NDUGU!hata aje fagason hapa!
Huyo Maximo hana lolote... Ni mbabaishaji tu!
Bwa ha ha ha poor analysis mazee.....hujui soka kabisa......Maximo haku8ja tz kukuza vipaji kaja kufundisha proffessional footie ambao weshajua.....wewe na ri serikali lako mnakuza vipaji????- Wababaishaji ni sisi wananchi na serikali yetu, simply huwezi panda mahindi ukavuna mihogo kama unataka kuendeleza mpira bongo, unakwenda kutafuta kocha wa kweli kama Mzee Carlos Arlberto dau lake US dollars $ 250,000 kwa mwezi kwa sababu hatuwezi basi ridhika na kina Maximo, ambao hata huko Brazil hawafahamiki waliwahi kuchezea wapi?
- Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, kamba yetu bongo inaishia kina Maximo! na ufisadi tu!
Respect.
FMEs!
- Wababaishaji ni sisi wananchi na serikali yetu, simply huwezi panda mahindi ukavuna mihogo kama unataka kuendeleza mpira bongo, unakwenda kutafuta kocha wa kweli kama Mzee Carlos Arlberto dau lake US dollars $ 250,000 kwa mwezi kwa sababu hatuwezi basi ridhika na kina Maximo, ambao hata huko Brazil hawafahamiki waliwahi kuchezea wapi?
- Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, kamba yetu bongo inaishia kina Maximo! na ufisadi tu!
Respect.
FMEs!
Bwa ha ha ha poor analysis mazee.....hujui soka kabisa......Maximo haku8ja tz kukuza vipaji kaja kufundisha proffessional footie ambao weshajua.....wewe na ri serikali lako mnakuza vipaji????
vichezaji vyenu vichwa nazi hata ufundisheje hawaelewi......sana sana mnalia lia ati kaseja kaseja.......wazee soka sio usimba na uyanga wenu....arrrrrrg
mwalimu mmoja afundishe wale jamaa milembe nma mwingine afundishe wale jamaa pale mlimani kisha wanafunzi wapewe exms......wa mlimani wapasue wa milembe waandike madudu.....utamlaumu mwalimu wa wanafunzi wa milembe?- Mkuu vipi mbona quotes hazifanani, wewe unaongea vipaji mimi ninaongea uwezo wa kocha? Hebu soma tena mkuu!
Respect.
FMEs!
mwalimu mmoja afundishe wale jamaa milembe nma mwingine afundishe wale jamaa pale mlimani kisha wanafunzi wapewe exms......wa mlimani wapasue wa milembe waandike madudu.....utamlaumu mwalimu wa wanafunzi wa milembe?
- Wababaishaji ni sisi wananchi na serikali yetu, simply huwezi panda mahindi ukavuna mihogo kama unataka kuendeleza mpira bongo, unakwenda kutafuta kocha wa kweli kama Mzee Carlos Arlberto dau lake US dollars $ 250,000 kwa mwezi kwa sababu hatuwezi basi ridhika na kina Maximo, ambao hata huko Brazil hawafahamiki waliwahi kuchezea wapi?
- Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, kamba yetu bongo inaishia kina Maximo! na ufisadi tu!
Respect.
FMEs!
Bwa ha ha ha poor analysis mazee.....hujui soka kabisa......Maximo haku8ja tz kukuza vipaji kaja kufundisha proffessional footie ambao weshajua.....wewe na ri serikali lako mnakuza vipaji????
vichezaji vyenu vichwa nazi hata ufundisheje hawaelewi......sana sana mnalia lia ati kaseja kaseja.......wazee soka sio usimba na uyanga wenu....arrrrrrg
Nimerudia kusoma hizo post mbili hapo juu kama mara kumi hivi nikitafuta ulipoandika habari ya vipaji sajaona na nafikiri sitaona milele daima. Umetaka ufafanuzi jamaa kaja tena na mfano wa ovyo ovyo kabisa hapo chini.- Mkuu vipi mbona quotes hazifanani, wewe unaongea vipaji mimi ninaongea uwezo wa kocha? Hebu soma tena mkuu!
Respect.
FMEs!
Mfano kama huu ni matokea ya ndumu bila chakula.mwalimu mmoja afundishe wale jamaa milembe nma mwingine afundishe wale jamaa pale mlimani kisha wanafunzi wapewe exms......wa mlimani wapasue wa milembe waandike madudu.....utamlaumu mwalimu wa wanafunzi wa milembe?
- Wababaishaji ni sisi wananchi na serikali yetu, simply huwezi panda mahindi ukavuna mihogo kama unataka kuendeleza mpira bongo, unakwenda kutafuta kocha wa kweli kama Mzee Carlos Arlberto dau lake US dollars $ 250,000 kwa mwezi kwa sababu hatuwezi basi ridhika na kina Maximo, ambao hata huko Brazil hawafahamiki waliwahi kuchezea wapi?
- Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, kamba yetu bongo inaishia kina Maximo! na ufisadi tu!
Nimerudia kusoma hizo post mbili hapo juu kama mara kumi hivi nikitafuta ulipoandika habari ya vipaji sajaona na nafikiri sitaona milele daima. Umetaka ufafanuzi jamaa kaja tena na mfano wa ovyo ovyo kabisa hapo chini.
Mfano kama huu ni matokea ya ndumu bila chakula.
Nini kifanyike?Swala ni mfumo wa mpira wote nchini, ambao haufai.leo mimi naweza nikaanzisha tim ya mtaani haitaichukua miaka miwili inaingia ligi kuu. hapo tu kuna walakini wa mfumo wa ligi zetu, inaletea kuwa ligi haina standard na quality.kwahiyo tim za ligi zinashindana kwa quality ndogo sana na ndo maana tunaboronga.
mfumo wa tim zetu unavyoendeshwa ni mmbovu sana,na tutaendelea kuboronga mpaka basi...
- Wababaishaji ni sisi wananchi na serikali yetu, simply huwezi panda mahindi ukavuna mihogo kama unataka kuendeleza mpira bongo, unakwenda kutafuta kocha wa kweli kama Mzee Carlos Arlberto dau lake US dollars $ 250,000 kwa mwezi kwa sababu hatuwezi basi ridhika na kina Maximo, ambao hata huko Brazil hawafahamiki waliwahi kuchezea wapi?
- Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, kamba yetu bongo inaishia kina Maximo! na ufisadi tu!
Respect.
FMEs!
Namuonea huruma Maximo kufundisha watu wasiokuwa na pre-requiste ya mafunzo anayotoa. Tanzania hata kama tutaletewa makocha wawili walioandaa timu za taifa za Italy na Ujerumani wakati wa kombe la dunia 2006, bado tutabaki kuwa "mbuzi wa shughuli tu."
Wachezaji wetu wengi hawana ile discpline ya training; wanamfundishwa hiki, wao wanafanya kile. Kosa letu ni kuwa tunaokota wachezaji wetu wengi kutoka mitaani badala ya kuwachukua kutoka mashuleni wakiwa wamejengwa kuwa trainable. Utagundua kuwa wachezaji wetu wazuri wa zamani miaka ya sabini na themanini walitokana na michezo ya mashule ya sekondari na msingi; leo hii hakuna kitu cha namna hiyo tena labda kama kimeanza jana tu. Bila kuwa na foundation nzuri ya kupokea training, hapa hatutapa kitu kwenye timu yetu. Tukumbuke kuwa mpira ni teamwork; inawezekana kuwa kuna wachezaji wawili au hata watano ambao ni trainable na ni wazuri sana, lakini wakishachanganywa na kundi lile jingine basi timu yote inakuwa hivyo tena.