The rise and fall of young Africans Sc

Namungo wako vizuri kushinda ninyi.
Alafu yanga kuna mgomo wa wachezaji wa chini kwa chini.
Ila hamjui tu.
Tusubiri tuone Mtani. Mana hapo vichwani kwenu mechi mshaicheza na mpaka matokeo mnayo tayari. Lol
 
Mtaniii na Morison kajua kuwashughulisha.

Yaani kila mkiamka mnafuatilia kasema nini. Lol.
Mimi yanga siwapendi ila kama ni kweli morrison kwa kinywa chake kasema mkataba wake ni miezi 6 tu huku kuna viongozi huwa wanawadanganya kuwa alisaini miaka miwili,hao viongozi kuweni nao makini...morrison ni mchezaji mzuri sana yanga msifanye uzembe akaondoka
 
Soma post #55 klabu imetoa ufafanuzi.
 
Kwa hyo MORRISON AKILI HANA?.
yani amesaini mkataba mpya lakini yeye mwenyewe HAJUI KAMA KASAINI?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mtani eee. Mi nadhani after this seson kwisha hapo ndo tutajua mwisho wa hizi sarakasi za huyu jamaa kwani kwa sasa naona maruwe ruwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…