mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mtani eee. Mi nadhani after this seson kwisha hapo ndo tutajua mwisho wa hizi sarakasi za huyu jamaa kwani kwa sasa naona maruwe ruwe tu.
Leo nitawaambia tanesco wasikukatie umeme ili uwe live wakati mpira unaendeleaMtani eee. Mi nadhani after this seson kwisha hapo ndo tutajua mwisho wa hizi sarakasi za huyu jamaa kwani kwa sasa naona maruwe ruwe tu.
😂😂Leo nitawaambia tanesco wasikukatie umeme ili uwe live wakati mpira unaendelea
Muongo huyo.Najua wajua.
Ila nataka ujue zaidi.[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 1487411
Hata uongozi wenu unalitambuaVerified toka wapi Mtani?
Na ndo kwanza ana miaka minane sasa hivi dah! Kazi tunayo wanautopoloYanga HAITACHUKUA UBINGWA MPAKA MWANANGU AFIKISHE MIAKA 18.