Katika dunia ambayo karibu kila kampuni ya simu inajaribu kufanana na Apple au Samsung, kuna kampuni moja iliamua kufanya kitu tofauti.
Jina lake ni Nothing.
Ilipoingia kwenye soko la smartphone, watu wengi hawakuichukulia kwa uzito. Baadhi waliona ni kampuni nyingine inayojaribu kutafuta attention kupitia design tofauti.
Lakini Nothing ilikuwa na wazo kubwa zaidi.
Ilitaka kutengeneza simu ambazo hazikuwa tu na specifications nzuri, bali pia zingekuwa na utambulisho wake.
Hapo ndipo tulipoanza kuona simu zenye transparent-inspired design, Glyph lighting na Nothing OS yenye muonekano safi na wa kipekee.
Kilichovutia zaidi ni kwamba kampuni haikujaribu kushindana kwa kutumia majina makubwa pekee. Ilijaribu kuwapa watumiaji experience tofauti.
Kadiri muda ulivyoendelea, Nothing ilipanua familia yake ya simu kupitia series mbalimbali, ikiwemo Phone (2), Phone (3), 3a na 4a series.
Jambo la kuvutia ni kwamba Nothing imeweza kuifanya simu isiwe kifaa cha mawasiliano tu, bali pia sehemu ya personal style ya mtumiaji.
Kwa sasa, soko la smartphone lina ushindani mkubwa sana. Apple ina ecosystem yake, Samsung ina nguvu kwenye display na teknolojia, lakini Nothing inajaribu kujenga identity yake.
Sometimes, the biggest innovation comes from a company brave enough to be different.
♻️ EXCHANGE ALLOWED
🛡️ TWO YEARS WARRANTY
🚚 Free delivery around dar es salaam
Mikoani tunatuma kwa bus,ndege na ems📦
📍 OUR LOCATION kariakoo aggrey & masasi street
♻️UKIFIKA TUPIGIE TUKUELEKEZE DUKA LILIPO
📞 CALL / TEXT / WHATSAPP0760118225
Nothing is not just a name. It's a statement.

NOTHING PHONE – AVAILABLE MODELS & PRICES
- Nothing Phone 4A Pro 256GB — TZS 1,940,000
- Nothing Phone 4A 256GB — TZS 1,530,000
- Nothing Phone 3 256GB — TZS 1,850,000
- Nothing Phone 3A Pro 256GB — TZS 1,340,000
- Nothing Phone 3A Lite 128GB — TZS 900,000
- Nothing Phone 2A Plus 256GB — TZS 980,000