BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Duuuh haya maisha bhanaKwa kila episode moja unayomuona The Rock, katika series ya "Ballers", anapokea malipo si chini ya Bilioni 1.6 Tsh.
Na kwa mwaka huu pekee hadi sasa anashikilia namba moja kwa waigizaji wanaolipwa fedha nyingi, sababu hadi sasa ameweka kibindoni Bilioni 205 Tsh.
#billionaire_thread!
View attachment 1214869
Duuuh haya maisha bhana
Tuwe waigizaji kama jamaaMoral of the story!??
Kwa kila episode moja unayomuona The Rock, katika series ya "Ballers", anapokea malipo si chini ya Bilioni 1.6 Tsh.
Na kwa mwaka huu pekee hadi sasa anashikilia namba moja kwa waigizaji wanaolipwa fedha nyingi, sababu hadi sasa ameweka kibindoni Bilioni 205 Tsh.
#billionaire_thread!
View attachment 1214869
MakondaMkuu, unaweza mfananisha na nani hapa Tanzania..mwenye uwezo wa mapigano na muigizaji
CARRIER YA MEILEKA HAIKUMLIPA AKAJUA NAMNA YA KUJIONGEZZA
[emoji3][emoji3][emoji3] jamaa anatengeneza pesa ndefu sana sema hapendi show off.hata King Kiba naye anameki mkwanja mrefu kuzidi huo..
sema hatakagi kujionyesha na kuringa kama anavyofanya Rock au Diamond
CARRIER YA MEILEKA HAIKUMLIPA AKAJUA NAMNA YA KUJIONGEZZA
Kalale zero brain lile li ajuza 40+hata King Kiba naye anameki mkwanja mrefu kuzidi huo..
sema hatakagi kujionyesha na kuringa kama anavyofanya Rock au Diamond
Mkuu, unaweza mfananisha na nani hapa Tanzania..mwenye uwezo wa mapigano na muigizaji