BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kwa kila episode moja unayomuona The Rock, katika series ya "Ballers", anapokea malipo si chini ya Bilioni 1.6 Tsh.
Na kwa mwaka huu pekee hadi sasa anashikilia namba moja kwa waigizaji wanaolipwa fedha nyingi, sababu hadi sasa ameweka kibindoni Bilioni 205 Tsh.
#billionaire_thread!
Na kwa mwaka huu pekee hadi sasa anashikilia namba moja kwa waigizaji wanaolipwa fedha nyingi, sababu hadi sasa ameweka kibindoni Bilioni 205 Tsh.
#billionaire_thread!