Upendeleo kivipi wakati ndo kitovu cha utalii! Muwe mnajipanga kabla ya kuchangia! Ulitaka ikazinduliwe Dodoma?Hongera Mkoa wa Arusha,mmepata upendeleo.
Royal Tour ndani ya jiji, ndani ya ukumbi wa AICC.
Tarehe tajwa hapo juu.
Ngoja tuone uzinduzi huo wa kwanza Tanzania na wa aina yake
Vip Bagamoyo., Kilimanjaro na Zanzibar Huko hakuna utalii?
Kwanini wasifanye BURIGI kule karibu ya CHATTLE?
Bagamoyo kuna utalii gani? Au kuna Bagamoyo nyingine?Vip Bagamoyo., Kilimanjaro na Zanzibar Huko hakuna utalii?
Driver Guides na Tour operators waalikwe for free hawa ndo Front line kwenye Industry.. ...
Lema anahusikaje hapa! Ache mihemko isiyo na maana!Godbless Lema atakuwepo?
Umemjibu vizuri huyu mpuuzi!Upendeleo kivipi wakati ndo kitovu cha utalii! Muwe mnajipanga kabla ya kuchangia! Ulitaka ikazinduliwe dodoma?
Eti!!!Kwanini wasifanye BURIGI kule karibu ya CHATTLE?
Hongera Mkoa wa Arusha,mmepata upendeleo.
Royal Tour ndani ya jiji, ndani ya ukumbi wa AICC.
Tarehe tajwa hapo juu.
Ngoja tuone uzinduzi huo wa kwanza Tanzania na wa aina yakeView attachment 2197834
Hahahaaaa.........!Lema anahusikaje hapa! Ache mihemko isiyo na maana!
Wana jamii napenda kutoa pendekezo hii filamu izinduliwe Paris, Ufaransa Uswis na Spain Hawa ni wadau muhimu wa utaliiHongera Mkoa wa Arusha,mmepata upendeleo.
Royal Tour ndani ya jiji, ndani ya ukumbi wa AICC.
Tarehe tajwa hapo juu.
Ngoja tuone uzinduzi huo wa kwanza Tanzania na wa aina yakeView attachment 2197834