Unateswa na mwafrika mwenzako sasa huyo wa nje ndie atakuonea huruma? Grow up Man.Kuwachefua?Kwa hiyo unataka tuwahusudu.Over my dead body!Majitu yanatutesa usiku na mchana,na si wewe na mimi tu,hata ndugu zetu, halafu tuwahusudu!? Ovyooo.......!Hapo ulipo si ajabu una sukari au pressure, mkeo ana liuvimbe tumboni,watoto wako hawaeleweki,hofu imekujaa ya C-19 nk.nk.halafu unawachekea!Na wao kimsingi kwa njia moja au nyingine ndio walio sababisha.Kweli usilolijua ni usiku wa giza.