The secret of Samia Suluhu Hassan’s extraordinary success: her understanding of the distinctive features of Tanzania politics

A riddle, full of conjuring uncertainties.
 
Huyu ni msukuma achana naye
How do you ask for moral decency?

I quote
"...our sense of decency as Tanzania citizens informs..."
unquote

and in the same context ignore the plight of its esteemed citizen?

"Huyu ni msukuma achana naye"

Well, that was rhetoric!

Anyways you already said you have changed to support whoever can offer you the sweetest honey there is!
GoodLuck

Divided we win!
 
Kabisa kaka
 
Mama ana weza kazi sana
Anaweza Sana, leo ametuasa sisi waandishi, ukimkuna vizuri, atakukuna , atakupapasa na huku anakupuliza ufuu ufuu, ila ukimpara, anakuparua!. Hivyo kazi ya media, iwe ni kumkuna vizuri na na kuepuka kumpara.
P
 
Na amesema ukimkuna vizuri baaasi nawe utapapaswa japo hii watu wa habari ndo mnaelewa zaidi , si Kama sisi wa mtaani
 
Mtasemaje sasa baada ya kiruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zenu na mmeshiba asali

Samia has miserably failed to plug the hemorrhaging of government coffers!! Fedha ya Serikali inaibwa sana na hawa vijana kwenye Halmashauri na taasisi za umma kama vile hawana wakili nzuri!! Samia aache safari akae nyumbani kusimamia maendeleo; hayo mengine anaweza kufanikisha akiwa nyumbani kwa kutumia mitandao!!
 
Samia sucsess!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bidhaa zote lazima zipande bei kutokana na vita ya urusi na ukaraine!

PM: hakuna sababu ya wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa!
Yes yes
 
Uber......Closed.

Standard Chartered ....... Closed.

Miradi......hakuna uliokamilika.

Bidhaa....... Bei zimepanda.

Huduma..... Mbovu.

Ubadhirifu..... Umerejea.

Nidhamu...... Hakuna tena.

You may call that success.
Wewe ni headless chicken. Hakuna chochote chenye ukweli hapo zaidi ya kupanda bei kwa bidhaa. Kuoanda bei kwa bidhaa ni uncontrollable factor
 
Samia sucsess!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bidhaa zote lazima zipande bei kutokana na vita ya urusi na ukaraine!

PM: hakuna sababu ya wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa!
Mnisamehe
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…