The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie?

Nahisi kama aliambiwa kuwa ata nanilii ndio maana ilimbidi kufanya vile maana bila vile kile kipande hakikuwepo!, hata ile barabara kuu kupita Chato ni imechepushwa ilikuwa ipite Biharamulo!. Bajeti ya Uwanja wa ndege wa Chato, ilikuwa ni ile ya Omukanjunguti ikachepushwa!. Tanapa nao walikuwa wajenge a 5 star hotel sasa sijui, na uwanja wa mpira pia sijui!.
P
 
Nilipita Ngara, Bharamulo na Geita mwezi February mwaka huu. Kwenye lile pori la Burigi -Chato hakuna hata ngedere.

Yule dikteta angetufikisha pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…