The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kupeleka SGR hadi mpaka wa Rwanda ni ujinga maana mizigo yao si mingi
Ungeni mkono japo kidogo enyi CDM.....! sio kila kitu mnakipiga 'tanchi'.
Uganda kujenga km 2700 peke yake ni ndoto za mchana, ni hadith na ngonjera za MU7 kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.
Tanzania miaka 4 sasa kipande cha km 300 Dar-Morogoro kimetutoa jasho, tulianza na pesa za ndani upepo ukakata sasa tumeamua kuomba pesa za mabeberu ili zitusaidie na haijulikani hicho kipande kitaisha lini.
Haya mamiradi waafrika tunajenga kwa fedha za mikopo itafika sehemu tutashindwa kulipa mkopo hapo ndipo utapoelewa nani ni beberu na nani ni rafiki.
Hawajali masharti maana hayatawagusa waoUnazungumzia Rwanda Mkuu, Dodoma kwenyewe imefika? Morogoro yenyewe bado kukamilika. Huko Rwanda si habari nyingine? Labda ile simu kwa rais wa China itoe majibu, japo masharti yake lazima yazue balaa.
We kijakazi wa Magogoni unahangaika sana!
Weka data acha uchawiKupeleka SGR hadi mpaka wa Rwanda ni ujinga maana mizigo yao si mingi
Kwa iyo utaendelea kususa for next 5 yrs huku huna hakika na tuhuma zako za wizi ama wananchi ndio waliowakataa kwenye box la kura...!Hatuungi mkono wezi wa kura, na hatuna muda na propaganda mfu.
Paskali nahisi umemka umelewa, umeamka na mada za propaganda si propaganda bali vichekesho vitupu. SGR yetu kipande cha Dar-Moro tuliambiwa mwezi wa Nov 2019 kitakuwa kimekamilika, hadi sasa hakijakamilika na tunaambiwa kitakamilika Aprili 2021! Na kuna tetesi kuwa fedha zinasumbua kwenye huo mradi ndio maana simu ilipigwa kwa rais wa China. Unazungumzia mradi kufika Mwanza huku hata kipande cha 300km kimechekua zaidi ya 3yrs na bado hakijamilika!
Hao Uganda wana mradi wa bomba la mafuta, ilisainiwa toka 2017, na matarajio ingekamilika 2020. Lakini mpaka sasa haujaanza na hata kama ni kuanza ni kwa kusuasua. Sasa hapo unaoongelea mambo ya mradi wa SGR si vichekesho hivyo? Nikikumbuka ule utapeli wa sarafu ya pamoja ya E. Africa, kisha nikiona hizi mada zako kuhusu hawa matapeli, nacheka kwa nguvu.
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , hatushindani, ila ili SGR ijiendeshe kwa faida, ni kupata mzigo wa kushiba,na sio kwa kusafirisha abiria. Catchment ya faida ya SGR ya Kenya ni mzigo wa Uganda na Rwanda, Southern Sudan na North Eastern DR Congo kupitia bandari ya Mombasa.Ni jambo jema!
Lakini sidhani kama tuna mashindano na Kenya mkuu Pascal!
Nimekuelewa mkuu!Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , hatushindani, ila ili SGR ijiendeshe kwa faida, ni kupata mzigo wa kushiba,na sio kwa kusafirisha abiria. Catchment ya faida ya SGR ya Kenya ni mzigo wa Uganda na Rwanda, Southern Sudan na North Eastern DR Congo kupitia bandari ya Mombasa.
Ili SGR yetu ijiendeshe kwa faida, ni lazima ipate mzigo wa kushiba kupitia Dar Port, hivyo any additional cargo, ni fursa!, fursa are up there for grab, na sio kushindana bali kuchangamkiwa!.
P
Unadhani SGR sio kama kupika chips .tulia kwanza nyie miaka 30 hata jengo moja umeshindwa uanapanga mpaka leo
Kwa iyo utaendelea kususa for next 5 yrs huku huna hakika na tuhuma zako za wizi ama wananchi ndio waliowakataa kwenye box la kura...!
Japo sio kweli kuwa asilimia kubwa ya mzigo unaopita bandari ya Dar ni wa Congo DRC, mzigo mkubwa wa Dar Port ni unaovuka Tunduma!. Ila kwenye long plan ya SGR yetu itafika Kigoma.Asilimia kubwa ya mzigo unaopita bandari ya Dar ni wa Congo. Ujanja ungekuwa kuwahi mzigo wa Congo kupitia Kigoma. Kupitia njia nyingine yoyote ile ni kuongeza gharama na mzunguuko. Kigoma is a direct shot. Mjerumani aliliona hilo na Muingereza pia.
Nafikiri biashara ya utalii hujaifuatilia kwa ukaribu, uwanja wa KIA ni njia mojawapo ya mtalii kuingian Tanzania. Mtalii anaweza kuingia kupitia mipaka ya nchi jirani na hii ndio njia inayoingiza watu wengi, pia viwanja vya ndege. Lakini kusema kuwa mkenya anaweza kudanganya mlima kilimajaro upo kenya ni ngumu. Sababu hata booking za kupanda mlima zinafanywa na mawakala wa utalii ambao kumdanganya mtalii kwao ni kupoteza pesa.Ingejulikana hivyo ingebidi uwanja wa KIA uongezwe ukubwa maana usingetosha kupokea ndege za watalii!
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , hatushindani, ila ili SGR ijiendeshe kwa faida, ni kupata mzigo wa kushiba,na sio kwa kusafirisha abiria. Catchment ya faida ya SGR ya Kenya ni mzigo wa Uganda na Rwanda, Southern Sudan na North Eastern DR Congo kupitia bandari ya Mombasa.
Ili SGR yetu ijiendeshe kwa faida, ni lazima ipate mzigo wa kushiba kupitia Dar Port, hivyo any additional cargo, ni fursa!, fursa are up there for grab, na sio kushindana bali kuchangamkiwa!.
P
Hayo mabegi si mlitakiwa muyatunze ili yawe kielelezo mahakamani? Na kwa nini mabegi yawe Kawe tu? Najua utakimbilia kusema huna imani na mahakama,shame on you.Tuhuma za wizi ukazitolee wapi kwa mfano? Kura za kwenye mabeg ndio wananchi? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.