The State, We must Both agree that We need to move from MAGUFULI to MAGUFULISM na huo ndio uwe Mwelekeo wa Taifa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Magufuli was more than a Person, He was a Country, He was a Vector., However, we unexpectedly lost this national treasure.

Magufuli's Strategy, Ideas, Principles , Beliefs should be turned into a National Ideology and this will further prevent the risk associated with One Man.

The essence of the Economic , Social policies of the late Magufuli must be interpreted in some form of ideology so that when the visionary dies, the country moves forward with his vision.

We have heard Mr. TUNDU LISSU confessing about Magufuli's excellence, what does this mean for someone who has spoken badly about the late Magufuli for many years?

Some hypocrites have decided to use their pens and fame to distort the truth about the late Magufuli, painting him as the devil while enjoying a life that pleases a few people.

If the nation truly needs real, sustainable development that touches the lives of every citizen, rich and poor, we must return to Magufuli's ideologies.

The Question is, Will we Declare the year 2025 to be a year of Defender of the Fatherland in Tanzania?.

Let stand up together, everything is possible!!.
 
Magu hachufuliwi kijinga.

Kabendera ni kati ya wale wajinga waliotaka kuwa mbele ya Serikali enzi hizo na walioshughurikiwa na mkono mrefu,!

Sasa wanafoka foka huku wakojua mwamba hayupo
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Magu hachufuliwi kijinga.

Kabendera ni kati ya wale wajinga waliotaka kuwa mbele ya Serikali enzi hizo na walioshughurikiwa na mkono mrefu,!

Sasa wanafoka foka huku wakojua mwamba hayupo
Unamshughulikia mtu kwa njia za kihalifu?
 
Magu hachufuliwi kijinga.

Kabendera ni kati ya wale wajinga waliotaka kuwa mbele ya Serikali enzi hizo na walioshughurikiwa na mkono mrefu,!

Sasa wanafoka foka huku wakojua mwamba hayupo
Tuzienzi Itikadi zake
 
Fundi umeme ana risk ya kuanguka kutoka kwenye kenchi au nguzo ya umeme na kuumia au hata kufa!
Vivyo hivyo anayefanya Kazi kiwanda Cha kufua chuma!
Kazi aliyochagua Eric kabendera ya kuandika habari za Uchunguzi na whistleblowing pia Ina hatari zake.
Hatari hizi zipo Dunia nzima,na mifano ipo!
Azory gwanda alikuwa anaandika habari za jinsi Jeshi linavyofanya oparesheni kibiti!.na alikuwa mwenyewe at his own peril!.hakuna mwandishi mwingine aliyeenda huko wakati wa oparesheni!
Sasa kwa Mantiki hiyo,Magufuli hakuwa malaika,Ben alipokuwa akimuattack personally mpaka kuquestion Elimu yake inawezekana alipata hasira!!
Eric anasema alikuwa ana taarifa za Binti wa Magufuli kufa kifo chenye utata!
Hizo taarifa alikuwa anataka kumpa nani,na nani anafurahi changamoto za familia yake kuanikwa mtandaoni in the name of "habari za Uchunguzi"!
Kila kitu kina matokeo yake,Chanya na Hasi!
Kupanga ni kuchagua!
Binafsi sikumpenda Magufuli kama "mtu" kwa Tabia zake,lakini nilikuwa napenda uthubutu wake,na kupenda kwake kufanikisha mambo.
Ni mtu wa kupigiwa mfano kwa mazuri yake.
 
Kila kiongozi ana mazuri na madhaifu yake,,kiongozi anayekuja anatakiwa kuendeleza mazuri na kuacha mapungufu. Hili tufanikiee tunatakiwa tuipe katiba yetu Kinga ili mtu yeyote asiwe juu ya katiba.
 
Kwahiyo hukumpenda magufuli km "mtu" kwa tabia zake zipi ? Alafu apigiwe mfano na maziri gani ,coz mazuri yote na yametokana na tabia zake personal ambozo ulikua hauzipend, Ebu nyooka mzee ueleweke, km moto sema moto ,km baridi sema baridi mambo ya vuguvugu atutaki,
 
MAGUFU alikua rais bora kuwai kutokea na sijua km atakuja kutokea , hayo yote anayosemwa kua ni mabaya na wanaomsema kwa ubaya ndio ambao walikuwa wapiga deal na hawana chochote zaidi ya kupigia kelele matumbo yao,ila km mtu ulikua umenyooka una makandokando yule mwamba alikua mwamba yani km putin flan iv,

"Ila km ulikua mtetezi wa haki za binadamu usingeweza muelewa" 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…