Hiyo inaanzia Ushirombo kuelekea Lusahunga mpaka border ya Rwanda wapo Strabag wanaikimbiza balaa sasa hv.Walikuwa wapo kipande cha Nyakanazi mpaka Lusahunga wakielekea border.Hapo Nyakanazi kuna mkeka mwingine unatandikwa kuelekea Kibondo ila kwa sasa wanamalizia 50KM mpaka Kabindo(Kakonko) kutoka Kabindo kuelekea kibondo,kasulu mpaka Manyovu wakandarasi wapo kwenye maandalizi kuna zaidi km300 zote zitakuwa Lami soon.
Kutoka Kasulu kwenda Kidawe Kigoma hiyo hiyo yupo mchina anamalizia lami na kashaingia Kasulu mjini ni balaa soon kote lami.