REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Ni kweli sababu barabara nyingi za mikoani ni ndefu na zipo nyingi, Kigoma tu ina project za barabara tofauti zenye urefu wa zaidi ya kilometres 500Yes Mkuu, Tukijumlisha na za mikoani tutawachosha