The Story Behind TAZARA Railway,

The Story Behind TAZARA Railway,

Nimeitazama hii video mwanzo hadi mwisho, naona nguzo na zege, nimetamani nione sehemu hata moja iliyokamilika, kumbuka sisi kilomita 500km tayari zinaingiza hela, na safu ya pili tayari imekamilika. Hii yenu kilomita kidogo sana 200km bado naona mpo machimboni.
Njooni mtutambie siku walau mtapiga honi na kungurumisha injini ya kichwa hata kimoja cha kuzuga, na kisiwe kile mlikuja kututambia baada ya kukinywesha gongo/chang'aa hadi kikabinuka, hiki hapa

View attachment 1218449
Mombasa Nairobi SGR is 485km n NOT 500km!
 
Uongo mkubwa . kwanza Nyerere kawajua Machina na Mao kupitia Abdulrahmna Babu. Babu alikua rafiki wa Mao na Choenlai
Wakati Tazara inataka kujengwa Nyerere akawaomba Marekani ambao ndio walikua marafiki zake..wakakataa kwa sababu haina maslahi kiuchumi. Na walikua right leo Tazara ipo ipo tu.
Wakati Mwalimu hajui atajenga vipi Babu akiwa Waziri Uchumi akaandaa ziara ya kwanza ya Mwalimu China.
Babu akawaeleza Mao na Choe Nlai juu ya Azma ya Tanzania kujenga Reli Tazara na West wamekataa.
Nyerere alipo fika China Ikawa kazi imesha malizwana Babu na wakati wa Hafla ya kitaifa Mao akatangaza kuwa China watajenga Tazara kwa mshangao wa Nyerere kwani hakuwahi kuleta ombi hilo !
Kwahiyo unamuongelea Balozi wa China! Idiot!
 
Aisee, What is your point mkuu
 
Waendeshe Wachina au Wavietnam ila lazima tufikishe reli DRC kupitia Uganda, lazima tuunganishe bahari ya Hindi na ya Atlantic.
Sisi hatuangalii kwa urefu wa pua.
Mchina deni lake atalipwa, na tutazidi kumuagiza atukopeshe zaidi hadi hiki kitu kikamilike kote kote.

Nyie mnaotutambia kujenga kila kitu kwa pesa ya ndani, mbona awamu hii kwa miaka miine tu mumekopa kuzidi awamu zote

Usichokijua ni kwamba sisi reli yetu tunaconnect mpaka zimbabwe huko sema sisi sio wasema hovyo na watu wakujisifia kama nyinyi.
Jifunze kuacha stori eti tuta sisi hivyo vitu vinafanya kazi tayari
Screenshot_2019-09-29-11-12-56.jpeg
 
Pole kijana ila reli yetu imeunganisha adi cape town south Africa, zimbambwe, zambia in short the whole of southen countries lakn hatupgi domo, sgr inaelekea burundi na rwanda then mayb tutaongeza baadae
Waendeshe Wachina au Wavietnam ila lazima tufikishe reli DRC kupitia Uganda, lazima tuunganishe bahari ya Hindi na ya Atlantic.
Sisi hatuangalii kwa urefu wa pua.
Mchina deni lake atalipwa, na tutazidi kumuagiza atukopeshe zaidi hadi hiki kitu kikamilike kote kote.

Nyie mnaotutambia kujenga kila kitu kwa pesa ya ndani, mbona awamu hii kwa miaka miine tu mumekopa kuzidi awamu zote

Pole kijana ila reli yetu imeunganisha adi cape town south Africa, zimbambwe, zambia in short the whole of southen countries lakn hatupgi domo, sgr inaelekea burundi na rwanda then mayb tutaongeza baadae

Hehehe!! Hampigi kelele??? Duh! Ina maana siku mtapiga makelele mtatupasua maskio maana kwa hako kasafu ka Dar-Mor 200km mumepiga mayoye hadi kuzimu wamewaskia. Sisi leo hii Mombasa-Nairobi karibia mara tatu ya hako kasafu kenu tayari inatuingizia hela, na leo hii tumekamilisha Nrb-Navasha imesalia kuzindua tu, taratibu lazima tuunge Atlantic.
Nafikiri hii ramani itakupia picha fulani hivi kwa nini Kenya ilichaguliwa

is_belt_and_road_working_nikkei_map.png
 
Nimeitazama hii video mwanzo hadi mwisho, naona nguzo na zege, nimetamani nione sehemu hata moja iliyokamilika, kumbuka sisi kilomita 500km tayari zinaingiza hela, na safu ya pili tayari imekamilika. Hii yenu kilomita kidogo sana 200km bado naona mpo machimboni.
Njooni mtutambie siku walau mtapiga honi na kungurumisha injini ya kichwa hata kimoja cha kuzuga, na kisiwe kile mlikuja kututambia baada ya kukinywesha gongo/chang'aa hadi kikabinuka, hiki hapa

View attachment 1218449
Hahahha we jamaa we eti kimekunywa gongo , hiki c cha Ethiopia hiki!
 
Kwan nyie mmekamilisha lini na sis tumeanza lin kujenga? Mkitaka jengeni hadi ya kuzimu, Mbna una domo pana hvyo wew, mmeanza kuitumia kwasabab imekamilika, sis yetu tutaitumia mwakani na sio mpaka morogoro ni mpaka dodoma mana phase one and two zote zipo u/c tunapga vitu viwil mara moja, japo tutatumia ya moro kwanza then dodoma few months later.
Hehehe!! Hampigi kelele??? Duh! Ina maana siku mtapiga makelele mtatupasua maskio maana kwa hako kasafu ka Dar-Mor 200km mumepiga mayoye hadi kuzimu wamewaskia. Sisi leo hii Mombasa-Nairobi karibia mara tatu ya hako kasafu kenu tayari inatuingizia hela, na leo hii tumekamilisha Nrb-Navasha imesalia kuzindua tu, taratibu lazima tuunge Atlantic.
Nafikiri hii ramani itakupia picha fulani hivi kwa nini Kenya ilichaguliwa

is_belt_and_road_working_nikkei_map.png
 
Facts:-
It was due the Relationship between Nyerere and Mao
This is the first Biggest project China Ever implemented Outside China
Over 70 Chinese Lost their lives during the Construction
China offered the Best Technical stuffs they Had
China Was still poor during Construction
Chinese Engineers and Tanzanians walked over 800km in the bushes prior to Construction in 1970,

The Same CCC that Built TAZARA is the Same company that Built Kenya SGR

ni vyema pia kama ungetufahamisha kwa mapana na marefu jinsi Mwalimu alitangatanga kwa wazungu kuzungusha kibakuli na hapo ndipo asili ya watanzania ya kuombaomba ilipoanzia. wazungu walipomkaushia, aligeuza na kuelekea China na ikumbukwe kuwa China wakati huo pia walikuwa masikini. basi Mwalimu aliwapigia magoti chini Mchina bila soni, bila haya na kunyorosha kibakuli.....

to cut the long story short, reli ilijengwa ila haijawai tengeneza faida yoyote na Mchina mlimzungusha na deni lake hadi akaamua kuwasamehe na kumuachia Mungu.
 
Tanzania Inajenga Miradi mingi sana Kwa Sasa,
Mingi ni kwa Pesa za Ndani kama
Rufiji Dam -$3bn
SGR Phase $1.9bn
More than 500km Roads under construction including Kimara -Kibaha Superhighway and Morocco -Mwenge Highway.

Na Mikopo ni Kama
SGR Phase 2 -450km over $2.5bn
Ubungo Interchange-$100m
Dar Port Expansion -$150m
BRT Phase 3- $200m
Sarenda Bridge-$120

Etc
Hope hizo 500km za barabara ni kwa Dar tu.
 
Hehehe!! Hampigi kelele??? Duh! Ina maana siku mtapiga makelele mtatupasua maskio maana kwa hako kasafu ka Dar-Mor 200km mumepiga mayoye hadi kuzimu wamewaskia. Sisi leo hii Mombasa-Nairobi karibia mara tatu ya hako kasafu kenu tayari inatuingizia hela, na leo hii tumekamilisha Nrb-Navasha imesalia kuzindua tu, taratibu lazima tuunge Atlantic.
Nafikiri hii ramani itakupia picha fulani hivi kwa nini Kenya ilichaguliwa

is_belt_and_road_working_nikkei_map.png
Sasa kwenye hiyo picture ninyi Kenya inawahusu nini? Sababu naona tu shipping lines route tu kutoka Kolkata kwenda Athens via Mombasa, kwani huwa hamna shipping lines kwenye bandari yenu?
 
Kwenye SGR tuna special agreement na Yarpi, wakishamaliza Dar Moro tu lot lll mpa Isaka inatangazwa chap chap, mwaka kesho lazima lot lll ianze
 
Uongo mkubwa . kwanza Nyerere kawajua Machina na Mao kupitia Abdulrahmna Babu. Babu alikua rafiki wa Mao na Choenlai
Wakati Tazara inataka kujengwa Nyerere akawaomba Marekani ambao ndio walikua marafiki zake..wakakataa kwa sababu haina maslahi kiuchumi. Na walikua right leo Tazara ipo ipo tu.
Wakati Mwalimu hajui atajenga vipi Babu akiwa Waziri Uchumi akaandaa ziara ya kwanza ya Mwalimu China.
Babu akawaeleza Mao na Choe Nlai juu ya Azma ya Tanzania kujenga Reli Tazara na West wamekataa.
Nyerere alipo fika China Ikawa kazi imesha malizwana Babu na wakati wa Hafla ya kitaifa Mao akatangaza kuwa China watajenga Tazara kwa mshangao wa Nyerere kwani hakuwahi kuleta ombi hilo !
Upo kidini zaidi ,we ni muongo, mnafki , mzushi
 
ni vyema pia kama ungetufahamisha kwa mapana na marefu jinsi Mwalimu alitangatanga kwa wazungu kuzungusha kibakuli na hapo ndipo asili ya watanzania ya kuombaomba ilipoanzia. wazungu walipomkaushia, aligeuza na kuelekea China na ikumbukwe kuwa China wakati huo pia walikuwa masikini. basi Mwalimu aliwapigia magoti chini Mchina bila soni, bila haya na kunyorosha kibakuli.....

to cut the long story short, reli ilijengwa ila haijawai tengeneza faida yoyote na Mchina mlimzungusha na deni lake hadi akaamua kuwasamehe na kumuachia Mungu.

Looks like you Hate the Story behind TAZARA
 
Back
Top Bottom