The Strangest Laws in the World

kwani sheria yetu ile ya marufuku kukonyeza ilifutwa???????

Ooh yeah...hiyo ni mojawapo ya sheria za kijinga sana aisee. Wakati mwingine hawa watunga sheria huwaga wamekosa la kufanya au sijui huwa wamefikia kikomo cha uwezo wao wa kufikiria...I dunno.
 

Hii sheria ya Lebanon ya kulala na mnyama imeniacha hoi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…